Mkuu naogopa mie maana mi ninaye mchaga na nmezaa nae mtoto sa nawaza maneno yako.We oa tu lakini jiandae kuuliwa mapema watoto wenu wakishakua na kujitegemea. Kwa Mchaga we utakuwa chasaka tu hata ufanyeje. Wasikilize wazazi wako!
Nimeshindwa kukuelewa mkuu. Tukusaidie kwa kuwashauri wazazi wako wamkubali huyo mchumba mchaga? Au tukushauri upingane na maamuzi ya wazazi wako?Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26. Nipo ktk mahusiano ya kimapenzi na binti wa kichaga kwa zaidi ya mwaka 1, bint ni mrefu kidogo kwangu na ni mwembamba afu maji ya kunde, ni mkristo na mpenda Mungu. Huyu bint nampenda sana nae ananipenda na kunijar, amekuwa mshauri wangu. Lakini jambo linalotesa akili yangu ni kwamba familia yetu hawawapendi kabisa wachaga kwa madai kwamba wachaga wanapenda sana kuwashika maskio wanaume (kuwatawala) , pia wachaga wanatabia ya kutaka mume ajenge na kupeleka pexa uchagan na sio kwa mama ake mzazi. Mpaka sasa nipo njia panda, mtoto namuelewa sana nae ananielewa sana lakn mtihan upo kwenye familia yangu. Mnisaidie wadau, nifanye nini ktk hili suala?
Tena ukikutana na mkibosho!!!!!usithubutu nisumu sumu sumu.....utakuwa r.i.p sooon
Wazazi wako wanakupenda mkuu. Mmbulu, mwilaq na mlangi hawavai chupi hoa wamama. Ni balaaa. Wanagawa tunda la kati kama hawana akili nzuri.wazazi hwa ni shida tupu ....
mm nliambiwa nisioe mchaga; mrangi na mmbulu/mwi Iraq ila cha ajabu wote nilio wahi kuwa nao kwenye mahusiano ni wairaq na warangi cjui nifanyaje sasa
Acha weweeeee .....kama we ulijutra basi ulidondokea kweme bovu tunduutajuta ukioa mchaga usithubutu

Wasiwasi wakl ndo maradhi yako mkuuMkuu naogopa mie maana mi ninaye mchaga na nmezaa nae mtoto sa nawaza maneno yako.
Weeeeee njoo kwangu nikanushe kauli yako mkuuuSema wachaga wamezidi kuwa gogo kitandani
Aisee Mtoto wa kichaga mtamu balaaa.... Kiruuu!!!
Nimedate sanaaa wachaga mkuu, but may be, may be unaweza ukaniprove wrongWeeeeee njoo kwangu nikanushe kauli yako mkuuu
Daaaah jaman mm nina mmchame nampendaa ilaaa kilaa mtu akiskiaa kuhusu mmachame ananiambia mdogo wangu utakujaa kufa mapema..wadau naombeni ushaur nina wakat mgumu mnooMmmmh wanawake wa machame? Utatangulia mbele ya haki bure,!
Itakuwa ulipata mchaga wa mwaka 47..... Hujapata new model......hahaha utajutraaaaSema wachaga wamezidi kuwa gogo kitandani
Kuja kwanguNimedate sanaaa wachaga mkuu, but may be, may be unaweza ukaniprove wrong