Wazazi hawataki nioe Mchaga

Wazazi hawataki nioe Mchaga

Status
Not open for further replies.
Hata mimi nakuambia Wachaga ni Watu wa kuogopa sana wana tabia za kuogofya sana! Achana nao!
Mange Kimambi ooh! sorry!
 
Waheshimu baba yako na mama yako ili upate miaka mingi ya kuishi....Katika Mithali zake mfalme Suleimani kuna shm anasema mwanangu sikiliza wosia wangu....achana na hao wachaga na pia jaribu sana kusikiliza wosia wa wazazi wako, mara nyingi wazazi uwa hawakosei. Mi nilikatazwa kuoa mchaga nikajifanya kichwa ngumu, huo u-boy friend na U-girl friend tu ulitaka kunitoa roho....sa izi nimetulia na mke wangu toka kanda ya ziwa...yaani nusu mtu, nusu malaika...asante Mungu kwa kunipa mwanamke huyu.
wazazi si Watu wa kupuuza, Mie walinikataza kucheza Mpira wakati nina kipaji cha mpira, hivi juzi naenda kupima Tumaini Hosp naambiwa nina tatizo la Moyo pia figo yangu moja haifanyi Kazi vizuri, dah nilishangaa sana! Dkt. Akinisisitizia pia nisicheze mpira!

Wabarikiwe sana wazazi wangu!
 
Hili la kutooa mwanamke wa kichaga hata mimi nilikatazwa tangu nikiwa sekondari kabisa.
Tena orodha yangu ni ndefu kidogo, nilikatazwa kuoa mchaga,mjaluo, wahaya, kuna kabila lingine nimelisahau.
Hoja yao kubwa wazazi ilikua kwamba wachaga ni watu wa kuangalia pesa na maslahi ya kwao hivyo anaweza hata kukuaa ukipata mafanikio, wajaluo ni kwamba wao wanapenda ukabila na kujiona bora, wahaya niliambiwa wanajiona bora sana na wanapenda ukabila wanaweza kumtenga hata ndugu yako wa damu.
Niliambiwa nikioa msukuma ndo nimepata ila sasa maisha yanabadilika kweli kweli nilijikuta nimeoa nje ya wasukuma lakini pia sijaoa makabila niliyokatazwa na wazee
 
Hata mimi nakuambia Wachaga ni Watu wa kuogopa sana wana tabia za kuogofya sana! Achana nao!
So mkuu unaniaminisha kuwa mchaga ndio kakuletea matatizo ya moyo na figo kufail???.....just being curious is not an offence.
hivi viongozi wetu waliooa wachaga mbona naona kama wamefanikiwa kuliko waliooa hao wengineo nje ya uchagani.
na declare interest kuwa am the chagga but sijaoa mchaga kwakua siamini katika ukabila bali mapenzi ya dhati.
 
So mkuu unaniaminisha kuwa mchaga ndio kakuletea matatizo ya moyo na figo kufail???.....just being curious is not an offence.
hivi viongozi wetu waliooa wachaga mbona naona kama wamefanikiwa kuliko waliooa hao wengineo nje ya uchagani.
na declare interest kuwa am the chagga but sijaoa mchaga kwakua siamini katika ukabila bali mapenzi ya dhati.
Umesoma lakini hukuelewa! Ninachomaanisha Wazazi sio wa kupuuza!
 
Mmachame na kibosho .....kiongozi sepa achana nae
 
Daaa kama unampenda kwa dhati muoe but pia take care wazazi wanachokisema

Lkn pia watu wenzangu wa pale uchagani asilimia kubwa huwa wanapatana wao kwa wao tofauti na hapo duuuu
 
Habari,

Nina mchumba wangu ambaye nimepanga kwenda kujitambulisha kwao mwezi huu August lakini kwa sasa niko kwenye hali ngumu kwa kuwa wazee wangu wa huku Meru hawataki nioe Mchaga na wanasema ni bora ningeoa Mmeru kuliko Uchagani wakitoa sababu tofauti tofauti.

Mchumba wangu huyu ni mchanganyiko wa Mkibosho(mama) na Mmachame(baba) ingawa nilishakuwa na uhusiano na binti wa Kimeru na ndio wamekazia hapo?

Nifanyeje? Hivi ingawa ni tabia ya mtu binafsi lakini nani zaidi kati ya Mmeru na Mchaga?
Usioe kabila oa mke , mke sio nguo unayoenda kununua dukan na ikiwa kubwa au ndogo utairudisha .mke ni agano la kuishi pamoja mke na mume mpaka mwisho wa maisha yenu
 
Asiyewajua na mwache ajaribu ..tafuta kabila lingine hata kama watakuwa na matatizo lakini asije jiingiza kwenye matatizo ..ukiwabishia wazazi jiandae kujibeba
Mkuu afadhali akaoe wasandawe hawana maneno sio pasua kichwa
 
Kabisa mkuu tunaweza ficha hili kwa kusema cjui inategemea na mtu ila ukweli ndo huo japo ni mchungu ila tuukubali hawa jamaa ni hatari ata uwe na rafiki wa huko bado si mtu kwako useme he is just like my blood relative Kwa kifupi ni watu wanaongalia una nini kikiondoka nae kwaheri kutafuta sio kesi ila kwann usiwe mvumilivu na utake mteremko sambaba na hayo wana tuhuma za kuua waume zao na kubaki lonely wa spend life ....Hatuwachomei wasiolewe kama wanaoane waone wao kwa wao
Mkuu hao wanawezana wao kwa wao, namuomba sana asijaribu maana bado tunampenda sana member wetu jf
 
Demu ninayemtaka ni demu kichaga jioni anaulizaga umeingiza sh ngapi sio dem wa kitanga jioni 1 kanga tayari amejipanga kwa mabusu mangapii...
Love chagga girls
 
Bora wa kutoka kanda nyingine aolewe huko lkn sio kanda nyingine uoe huko utajuta tu,hawakuachi salama

Ukipata pesa hawakuachi salama

Ukiwa maskini hawakuachi salama(utaachwa)
 
Mtoto humzika mama leo mama ana mzika mtoto,ndomaana mama alisema nisimchumbie mmachama muraaa, shusha mapanga naileta posa tarime. Roma mkatoliki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom