Wazazi hawataki nioe Mchaga

Wazazi hawataki nioe Mchaga

Status
Not open for further replies.
labda wazazi wako wanajua atakua na flat screen 42'' na kuharibu ukoo
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26. Nipo ktk mahusiano ya kimapenzi na binti wa kichaga kwa zaidi ya mwaka 1, bint ni mrefu kidogo kwangu na ni mwembamba afu maji ya kunde, ni mkristo na mpenda Mungu. Huyu bint nampenda sana nae ananipenda na kunijar, amekuwa mshauri wangu. Lakini jambo linalotesa akili yangu ni kwamba familia yetu hawawapendi kabisa wachaga kwa madai kwamba wachaga wanapenda sana kuwashika maskio wanaume (kuwatawala) , pia wachaga wanatabia ya kutaka mume ajenge na kupeleka pexa uchagan na sio kwa mama ake mzazi. Mpaka sasa nipo njia panda, mtoto namuelewa sana nae ananielewa sana lakn mtihan upo kwenye familia yangu. Mnisaidie wadau, nifanye nini ktk hili suala?
 
Mm mwenyewe nilikuwa na mdete mwanaume wa kisukuma, cku moja nimeenda kuonana na mamake akawaanawaponda wachaga vibaya bila kujua mm ni mchaga nilijiskia vibaya bt nika pretend normal, nikawa namuuliza maswal kijanja juu ya wachaga bado anaponda anasema ukioa mchaga au kufanya biashara na mchaga lazma akuuwe, so anqmtaadharisha mwanae acje oa mchaga, nilivyosepa nikamwambia boyfriend wangu tukaacha, cz anampenda sanaa mamake and baba yao alishafariki so yy ndo first born na hapend kumkera mamake
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26. Nipo ktk mahusiano ya kimapenzi na binti wa kichaga kwa zaidi ya mwaka 1, bint ni mrefu kidogo kwangu na ni mwembamba afu maji ya kunde, ni mkristo na mpenda Mungu. Huyu bint nampenda sana nae ananipenda na kunijar, amekuwa mshauri wangu. Lakini jambo linalotesa akili yangu ni kwamba familia yetu hawawapendi kabisa wachaga kwa madai kwamba wachaga wanapenda sana kuwashika maskio wanaume (kuwatawala) , pia wachaga wanatabia ya kutaka mume ajenge na kupeleka pexa uchagan na sio kwa mama ake mzazi. Mpaka sasa nipo njia panda, mtoto namuelewa sana nae ananielewa sana lakn mtihan upo kwenye familia yangu. Mnisaidie wadau, nifanye nini ktk hili suala?
Cha msingi waeleweshe kwenu kwamba dunia ya sasa sio kama ya zamani..hayo ni mambo ya kale saivi baada ya kupata pesa mnajenga kwenu Na sio ukwen...
 
Ivi wachagga wanatatizo gani?
Mbona threads za wanaokataliwa humu wengi ni wachagga?
Mi niko na mwanaume mchaga!!! Mnanitisha
 
Mambo unayoongelea ni ya kufikirika tu hayana uhalisia, eti kujenga ukweni kwani kila mwanamke wa kichagga kwao hakuna nyumba? Kumpa hela mkwe wako ni mpaka awe mchagga kwani mkwe wa makabila mengine huwa hawapati matatizo? Wanawake wakichaga wana changamoto lazima uwe mpiganani, hatupendagi ujinga😛😛
 
Duh... Hii Kali, hata rey alicheza movie alijitahid kuelimisha wazaz wake kuhusu binti wa kichaga, alisimama pamoja na mchumba wake! Kama tujuavyo mzazi ni mmoja huwez pata mwingine ukimkosa wa kwanza ila wake/ waume ni wengi.

Alichoamua ni kuambatana na wazaz,

KILA MTU ATABEBA MZIGO WAKE, AKILI KICHWANI MWAKO!"
 
Mambo unayoongelea ni ya kufikirika tu hayana uhalisia, eti kujenga ukweni kwani kila mwanamke wa kichagga kwao hakuna nyumba? Kumpa hela mkwe wako ni mpaka awe mchagga kwani mkwe wa makabila mengine huwa hawapati matatizo? Wanawake wakichaga wana changamoto lazima uwe mpiganani, hatupendagi ujinga😛😛
Eee lazma mwanaume uwe mpiganaji haswaaaaa hatupendagi ujinga sisi...... weitaaaaa lete bia tano kwa huyu dada
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom