Wazazi hawataki nioe Mchaga

Wazazi hawataki nioe Mchaga

Status
Not open for further replies.
Binafsi mama yangu alikuwa kipingamizi sana nisioe mchaga ila nlisimamia maamuzi yangu na mpaka leo nipo na mchaga wangu mwaka wa kumi sasa. huyu huyu mchaga ambae mama alikuwa hamtaki kwa maneno ya kuambiwa leo hii ndiyo kila kitu kwake tena ilifikia mahali mama alimuomba msamaha binti wa watu. tabia ya mtu ni mtu mwenyewe havina uhusiano na kabila lake
 
Daaaah jaman mm nina mmchame nampendaa ilaaa kilaa mtu akiskiaa kuhusu mmachame ananiambia mdogo wangu utakujaa kufa mapema..wadau naombeni ushaur nina wakat mgumu mnoo

Daaaaah nimepitaa na comment kibao ukweli kama sio tunafuata mkumbo basi lisemwalo lipo na kama halipo basi laja..yaan haiwezekani robo tatu ya comment ziseme wachaga hawafai,but ki ukweli nashkuru wadau ninejifunza kitu nina mrembo mmachame nimenote kitu.
Akili za kuambiwa changanya na zako, mimi pia niko na mmachame wangu bila wasiwasi wowote..
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Mm mwenyewe nilikuwa na mdete mwanaume wa kisukuma, cku moja nimeenda kuonana na mamake akawaanawaponda wachaga vibaya bila kujua mm ni mchaga nilijiskia vibaya bt nika pretend normal, nikawa namuuliza maswal kijanja juu ya wachaga bado anaponda anasema ukioa mchaga au kufanya biashara na mchaga lazma akuuwe, so anqmtaadharisha mwanae acje oa mchaga, nilivyosepa nikamwambia boyfriend wangu tukaacha, cz anampenda sanaa mamake and baba yao alishafariki so yy ndo first born na hapend kumkera mamake
Asee kuna jamaa kwetu ali uwawa bhana na mkewe wachaga ni shda
Sema mama ake alikuwa ana kutahadhrisha tuu
[emoji1]
 
Daaaaah nimepitaa na comment kibao ukweli kama sio tunafuata mkumbo basi lisemwalo lipo na kama halipo basi laja..yaan haiwezekani robo tatu ya comment ziseme wachaga hawafai,but ki ukweli nashkuru wadau ninejifunza kitu nina mrembo mmachame nimenote kitu.
Haaaaa
Wamachame tena!!!!
Hao ndo wanaogopwa kwel kwel

*ila usimwache
 
Mweleweshe mamaako polepole kwamba si wote wabaya na ikiwezekana toa mfano wa ubaya ambao unasemwa kwa kabila lenu na umuulize mamaako kama kweli kabila lenu wote wana ubaya huo!!
 
kama vipi mute kuoa kwa kluwa unasumbuliwa af tuone itakuwaje mbele ya safari
 
Asee kuna jamaa kwetu ali uwawa bhana na mkewe wachaga ni shda
Sema mama ake alikuwa ana kutahadhrisha tuu
[emoji1]
Embu fuatilia bana sio wachaga wote wana tabia ya kuua waume zao. Wenye tabia hizo wanajulikana wanatoka upande gani
 
Kama unataka kua marehemu mtarajiwa oa mchaga
 
Pole sana kaka, mwanamke wa kabila lolote anafaa kuwa mke na kila mtu ana tabia yake. Unaweza ukaoa huyo mmeru wanaomtaka wao na ukajuta! Mim n mchaga n am proud to be chagga girl(superb
Lazima ujitetee maana ni kabila lako ila ndo mjue hakuna kabila iko tayali kijana wao aoe mchaga
 
Mkuu kama washakataa usimuoe laaaana hiyo ukioa hamutaishi walai nakuapia hata kwenye bibilia kama wamekataa muache anza kusaka upya
 
Daaaah jaman mm nina mmchame nampendaa ilaaa kilaa mtu akiskiaa kuhusu mmachame ananiambia mdogo wangu utakujaa kufa mapema..wadau naombeni ushaur nina wakat mgumu mnoo
Bora uoe mchaga yoyote yule unaweza vumilia mapungufu yake ila mmachame looooh hao wanaitwa chinjachinja hata wachaga wenzao wanawaogopa wanaua wanaume balaa
 
Daaaaah nimepitaa na comment kibao ukweli kama sio tunafuata mkumbo basi lisemwalo lipo na kama halipo basi laja..yaan haiwezekani robo tatu ya comment ziseme wachaga hawafai,but ki ukweli nashkuru wadau ninejifunza kitu nina mrembo mmachame nimenote kitu.
Bora udate na mchaga wa aina yoyote na si mmachame wewe utakufa uache ndg wanakulilia na mali anasepa nazo na watoto wazaz wako hawatawaon kamwe
 
Binafsi mama yangu alikuwa kipingamizi sana nisioe mchaga ila nlisimamia maamuzi yangu na mpaka leo nipo na mchaga wangu mwaka wa kumi sasa. huyu huyu mchaga ambae mama alikuwa hamtaki kwa maneno ya kuambiwa leo hii ndiyo kila kitu kwake tena ilifikia mahali mama alimuomba msamaha binti wa watu. tabia ya mtu ni mtu mwenyewe havina uhusiano na kabila lake
Tulia kijana maana siku atakayokuua hutaijua na hizo mali ndg zako watazisikilizia uchagan na watoto hawatawaona kamwe
 
Habari,

Nina mchumba wangu ambaye nimepanga kwenda kujitambulisha kwao mwezi huu August lakini kwa sasa niko kwenye hali ngumu kwa kuwa wazee wangu wa huku Meru hawataki nioe Mchaga na wanasema ni bora ningeoa Mmeru kuliko Uchagani wakitoa sababu tofauti tofauti.

Mchumba wangu huyu ni mchanganyiko wa Mkibosho(mama) na Mmachame(baba) ingawa nilishakuwa na uhusiano na binti wa Kimeru na ndio wamekazia hapo?

Nifanyeje? Hivi ingawa ni tabia ya mtu binafsi lakini nani zaidi kati ya Mmeru na Mchaga?
Wazee wako wanakuonea huruma kutokana na kale katabia ka hao ndugu zetu, mtatafuta pamoja mkipata wanakutoa mhanga wabaki wao wakila bata huku wewe ukiliwa na funza.
 
mm mchaga najuta kuoa mngoni ,kama kuna binti matata na mrembo wa kichaga hasa machame au mmarangu nipm tuyajenge mama I love wachaga soooo much
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom