usioe ndugu yangu they are not people...they are moneymaker chaggax
Na kabila yako Ina make nini? Kabila yako inaendekeza uchawi unabakia kuonea wivu makabila ya watu.
usioe ndugu yangu they are not people...they are moneymaker chaggax
Habari,
Nina mchumba wangu ambaye nimepanga kwenda kujitambulisha kwao mwezi huu August lakini kwa sasa niko kwenye hali ngumu kwa kuwa wazee wangu wa huku Meru hawataki nioe Mchaga na wanasema ni bora ningeoa Mmeru kuliko Uchagani wakitoa sababu tofauti tofauti.
Mchumba wangu huyu ni mchanganyiko wa Mkibosho(mama) na Mmachame(baba) ingawa nilishakuwa na uhusiano na binti wa Kimeru na ndio wamekazia hapo?
Nifanyeje? Hivi ingawa ni tabia ya mtu binafsi lakini nani zaidi kati ya Mmeru na Mchaga?
Kama wazazi wanakupangia wazalishe wote alafu ukiona kesi waoe wote ila dem wa kichaga kwa karne hii ni (lulu) +dili yaani hakunaga dem mchaga ----
Kilimanjaro yote ni ya watu wenye tamaa na kutoridhika na maisha

wanazo lakin ni watu wa kuridhika na kushukuruMkuu si vizuri ku-generalize. Ina maana wa kabila lako wote hawana kasoro??!!
wanazo lakin ni watu wa kuridhika na kushukuru