Wazazi hawataki nioe Mchaga

Wazazi hawataki nioe Mchaga

Status
Not open for further replies.
Narrow Thinking!!

Kwani mtoa mada kazungumzia Ujeuri?? Kauliza hivi,Ni nani zaidi kati ya Mmeru na Mchaga??.
Mmeru na mchaga wa mawachame n all most the same coz .... Hata wakiongea kilugha wanaelewana...... Na inasemekana wameru ni wachaga wa machame waliokimbilia ARUSHA enz hizo
 
Mkuu thread yako kama inaniumiza maana mm nina mahusiano na Mtt Wa kichaga na nina plan za kumuoa sasa nawaza hii thread yako... Ila frankly speaking watoto wa kichaga wanakupa changamoto ya kupambana ktk maisha...... It's almost miez mitano tangu niwe nae ili nimejifunza mengi kutoka kwake na sina plans za kumuacha.......... Wazaz wang watanisamehe maana i will be following my heart
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Wachagga wapo very strategic, tatizo sio dadaz bali pressure wanayoipata kutoka kwa family members.... Tabia mbaya ni hulka ya mtu... Lakin aliyewafunda Akina Mangi kupenda pesa na Akawapa weupe ameleta sheedah jijini. Kuna ndugu zao wakikuyu Kenya... Hawa walitoka sehemu moja teh teh.... Lakin ukitaka kujua wachagga sio wajinga, angalia wanaume wanaowaoa wachagga utajua these guys are very strategic. Unaangalia after ten years utakuwa wapi. Mchagga anaangalia 30 yrs mtakuwa na nini na yeye atakuwa na nini? . Pale akikuliza you are completely finished... Yani umetafunwa na hawakii kukuambia watoto ni wa Dr Temu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utakosa watoto, na historia ndio imekuwa imeisha hapo. Ukitaka mfano hai kabisa wa current incident ya Hawa watu nitafute ni pm nkupeleke kwa Kaka angu tumbo moja. Senior officer kwenye reputable organisation nchini, very smart Man hapa hapa dar akupe full picture njisi walivyo mfusalo..... Weka Mbali kabisa na wanaume sweet mangi hawa. Usipokuwa gaidi utajinyonga.
Mkuu unafahamiana na Simplicity. au mdukuzi
 
Hao wazazi watakuwa wana matatizo. Wachaga ni moja ya makabila tough Tanzania hiyvo makabila legelege wanawaogopa na kuwaonea wivu. Ninawashukuru wazazi wangu na ndugu zangu at first instance kumpenda mama Bahati wangu. She has transformed my entire family. We call her mother, na mama yangu aliasa kabisa kua akifa ametuachia mama na wote tumuite mama.
 
Duh... Hii Kali, hata rey alicheza movie alijitahid kuelimisha wazaz wake kuhusu binti wa kichaga, alisimama pamoja na mchumba wake! Kama tujuavyo mzazi ni mmoja huwez pata mwingine ukimkosa wa kwanza ila wake/ waume ni wengi.

Alichoamua ni kuambatana na wazaz,

KILA MTU ATABEBA MZIGO WAKE, AKILI KICHWANI MWAKO!"
Ushauri wa maana huu, wazazi kwanza
 
Mkuu thread yako kama inaniumiza maana mm nina mahusiano na Mtt Wa kichaga na nina plan za kumuoa sasa nawaza hii thread yako... Ila frankly speaking watoto wa kichaga wanakupa changamoto ya kupambana ktk maisha...... It's almost miez mitano tangu niwe nae ili nimejifunza mengi kutoka kwake na sina plans za kumuacha.......... Wazaz wang watanisamehe maana i will be following my heart
Pole
 
Mm mwenyewe nilikuwa na mdete mwanaume wa kisukuma, cku moja nimeenda kuonana na mamake akawaanawaponda wachaga vibaya bila kujua mm ni mchaga nilijiskia vibaya bt nika pretend normal, nikawa namuuliza maswal kijanja juu ya wachaga bado anaponda anasema ukioa mchaga au kufanya biashara na mchaga lazma akuuwe, so anqmtaadharisha mwanae acje oa mchaga, nilivyosepa nikamwambia boyfriend wangu tukaacha, cz anampenda sanaa mamake and baba yao alishafariki so yy ndo first born na hapend kumkera mamake

Daaaah very sad iv izi mambo bado zipo jaman
 
Njoo pm kwa mchaga mwenzio mamy tuyajenge achana na malofa hao waoga wa maisha...Shite sha warimu kiiiiru
 
Wanaofikir hivyo waoga wa maisha tena mtuwekee hapa ushahidi ni vjiji gan hapa Tz vina mijengo ya maana kuliko uchagani,tena inawezekana hata hao wanajifanya wataibiwa kujenga ukweni kwao wanalala nyumba za Tembe, panda klm ukaone vijiji kama masaki acheni kufoka huku mkijua ni uongo na uzandiki, ukwel ni kwamba wanaume wengi wanaogopa kuoa uchagani kwa sababu hawana akili zakutafuta maisha, watoto wa mama na wanahofia kuzodiwa akili za kutafuta na wanawake wao...Mjitume vingnevyo mchaga ukioa atakujengea gorofa wee ukiringia ki-stalet au ist
 
Wazee wako wanakuonea huruma kutokana na kale katabia ka hao ndugu zetu, mtatafuta pamoja mkipata wanakutoa mhanga wabaki wao wakila bata huku wewe ukiliwa na funza.
Ukweli mtupu Hawa WAMACHAME hawanaga simile hata ukifulia Ni kukufokea tu. Utapata stress Na kufa. Pia hata ukifanikiwa watakuwekea sumu au akodishe majambazi yakuue. Yeye afyonze mali Na Ndugu zake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom