Wazamiaji SGR Business Class tujuane!

Wazamiaji SGR Business Class tujuane!

Attachments

  • Screenshot_20261004-090105.png
    Screenshot_20261004-090105.png
    786.1 KB · Views: 2
Unalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dodoma na huduma za full VIP [soft drinks na snacks], (badala ya kulipa bei halali ya 120,000) na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni au unapokea simu mpaka aondoke.
behewa za Business class huwa hazijai

USHAURI: fukuzeni wale staff wanaokagua tiketi wale wote wezi tu. Ndio wanatupa CODE. Abiria ascan mwenyewe tiketi, Kama feki geti lisifunguke (KUINGIA (point of origin & KUTOKA-final destination). Hapo ndio mtaona pesa. Vinginevyo Dar-Dom mnasafirisha watu bure na kuwapa chai mule BUSINESS na Royal bila kujua.

****Msipokee cash. Ndio mlango wa tamaa

Pascal Mayalla
Tuko wengišŸ˜€šŸ˜€šŸ˜€šŸ˜€. Na siti tunachagua tunazotaka na tunatamba nazo
 
Upigaji SGR upo wazi kuanzia pale Main entrance, pa kushushia abiria (DAR) unakuta askari hatak bolt/gari za private kushusha abiria hadi uingie kulipia mule ndani, wakaguzi wa scanner mpaka wakaguz wa tiketi na TTs.
 
Huwezi ku justfy wizi wa jamaa kisa eti viongozi nao ni wezi. Ili kukomesha huo wizi wa hao viongozi ni lazima tuanzie chini.

Kama wewe ni mwizi utakuwa na audacity ya kukemea kiongozi mwizi?
Wewe huko Maneromango unachoweza ni kumuwajibisha shehe wako kuhusu michango ya ujenzi
 
Ilikiluwaje yakaibuka makundi ya wahuni kama Yakuza
Tetemeko la Kobe — 1995
Baada ya Great Hanshin-Awaji Earthquake ya Januari 17, 1995, kundi la Yamaguchi-gumi, mojawapo ya makundi makubwa ya Yakuza, lilianzisha operesheni ya misaada walitoa na kusambaza kabla serikali misaada kama;
Maji
Chakula na noodles
Maziwa ya unga
Diapers
Vifaa vingine vya matumizi ya kila siku
Wakazi walifika katika makao ya kundi hilo kuchukua misaada. Ripoti za wakati huo pia zinaeleza kuwa baadhi ya wanachama wa Yakuza walisaidia kuwaokoa watu waliokuwa wamekwama kwenye nyumba zilizoporomoka.

2. Tetemeko na tsunami ya Tōhoku — 2011
Huu ni mfano mwingine mkubwa, Baada ya tetemeko na tsunami ya 11 Machi 2011, makundi kadhaa ya Yakuza yalituma malori yenye misaada katika maeneo yaliyoathirika,

Kwa mfano, Inagawa-kai ilituma malori yaliyobeba vitu kama,Maji ya kunywa
Chakula cha papo hapo,Diapers, betri, taa na vifaa vingine muhimu.


Ripoti moja ilisema kundi hilo lilisafirisha zaidi ya tani 100 za misaada kwenda Tōhoku Yamaguchi-gumi pia ilifungua baadhi ya ofisi zake kwa watu na kutuma misaada.
 
Back
Top Bottom