Wazamiaji SGR Business Class tujuane!

Wazamiaji SGR Business Class tujuane!

J3 alfajir narudi Dom kwa business class ila nauli/Bei ya Moro. Chai ya bure nanywea kwenye Treni. Nitawapa mrejesho
Mkuu sipendi ule msemo wa tafuta hela, ila kwa lifestyle yako nashawishika kukuambia tuongeze bidii za kutafuta hela, ukiwa cash huwez jipa adhabu ya kukimbilia vyooni sehemu ya haja kubwa na ndogo kujifungia mle, ni umasikini tu hakuna lingine.
 
Unalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dodoma na huduma za full VIP [soft drinks na snacks], (badala ya kulipa bei halali ya 120,000) na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni au unapokea simu mpaka aondoke.
behewa za Business class huwa hazijai

USHAURI: fukuzeni wale staff wanaokagua tiketi wale wote wezi tu. Ndio wanatupa CODE. Abiria ascan mwenyewe tiketi, Kama feki geti lisifunguke (KUINGIA (point of origin & KUTOKA-final destination). Hapo ndio mtaona pesa. Vinginevyo Dar-Dom mnasafirisha watu bure na kuwapa chai mule BUSINESS na Royal bila kujua.

****Msipokee cash. Ndio mlango wa tamaa

Pascal Mayalla
Apportunistics 🙄 ! Everywhere !
 
Nilikua natumia consetionary form ya shule unalipia nauli 1500 mpaka daslm yule mzee wa mjini pale Mungu amlaze mahari pema peponi ajawahi kutusumbua kuhusu hizo nauli mtata alikuwepo Mama mmoja Posta Mbeya akikupa dakika ukishindwa kupiga usirudi kuomba hela yako atakufokea balaa.
 
Tanzania Railways Corp, two weeks ago nilipanda SGR DOM–DAR, business class. Online ilionyesha zimebaki seats mbili, nikakata faster. Lakini safari nzima tulikuwa watu watatu tu kwenye cabin. Hii imekaaje 🤔
 
Hii ilikuwepo/ipo ata reli ya TAZARA.... Sasa siku ukikutana na TT mzambia ndo utaelewa show wale jamaa wapo kikazi
Siku hizi TT wazambia wanaishia nakonde ngoma ikivuka TT wabongo mpaka dar ikirudi hivo hivo ila bora wabongo wanajali una au huna tiketi wazambia hawajali hilo mzee utajua mwenyewe labda wakubananishe bahati mbaya
 
Unalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dodoma na huduma za full VIP [soft drinks na snacks], (badala ya kulipa bei halali ya 120,000) na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni au unapokea simu mpaka aondoke.
behewa za Business class huwa hazijai

USHAURI: fukuzeni wale staff wanaokagua tiketi wale wote wezi tu. Ndio wanatupa CODE. Abiria ascan mwenyewe tiketi, Kama feki geti lisifunguke (KUINGIA (point of origin & KUTOKA-final destination). Hapo ndio mtaona pesa. Vinginevyo Dar-Dom mnasafirisha watu bure na kuwapa chai mule BUSINESS na Royal bila kujua.

****Msipokee cash. Ndio mlango wa tamaa

Pascal Mayalla
Hamna Code hapo we umewachoma tu hao wadandiaji.
Kwanza muhunihuwa hapangi safari ya hivyo.
Nilipanda eurorail kihaki kabisa hadi France,nikaunga safari hadi Amsterdam nikala bata za kutosha,nikapanda U-bahn hadi Rostock unga pale treni ingine ya Berlin( chama kimoja u-bahn)huyo nikazama Copernhagen.
Pale nilikua na joint ticket na kulikua na delar pale kati nikakuta night sleeping-train yangu imeondoka dk tu.
Refund ( no sir you need to pay more for made change ticket you take early Quick route)
Nikaona hawanijui hawa
Nikapanda humo ndani ya treni ingine ya Norway (Mungu si habibi)
nikazama kwanza lounge kula beer na story nyiingi
njiani ajali hii hapa.
Kuna treni ya mizigo imeruka reli.
Ikabidi pale doze dozee,
Tulikaa masaa sasa mi ile nazurura tu njia ni hiyo wote tumekwama Eboh si naliona treni langu lile limeniacha liko mbele kabisa huko nalo kwenye foleni
Aloo nikazama mle ndani,kweli ile suite nimelipia hamna mtu wanaenda iko tupu kisa nilichelewa.
Hawakujua ni mimi waliniacha
Na wanataka kunikodisha tena.
Nikawaomba nikacheck (suite ni ile yangu) na mwanangu)
Wananiuzia hiyo tena no kwenye risiti!
Sikulipa
Nikawaambia dogo yuko kule mwisho
mfwateni.
wakaja nae
Nilijilaza nikarelax kabisa nikamwambia dogo kusanya mizigo mbele huku treni yetu ipo nayo kwenye foleni wanakufata😁
Tulifika salama kabisa,no extra money safari yote.
Na tumekaa sana vip lounge,kulala,kushinda bistro ni mimi.
Kijana wangu nadhani hajawahi kunielewa mpaka leo ule mpera mpera.
Kumbe hajui babaake ni muhuni tu aliyebwaga daluga.
 
Back
Top Bottom