Wazamiaji SGR Business Class tujuane!

Wazamiaji SGR Business Class tujuane!

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,322
Reaction score
39,896
Unalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dodoma na huduma za full VIP [soft drinks na snacks], (badala ya kulipa bei halali ya 120,000) na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni au unapokea simu mpaka aondoke.
behewa za Business class huwa hazijai

USHAURI: toeni staff wanaokagua tiketi wale wote wezi. Abiria atumie kadi. Kama hsina pesa geti lisifunguke (KUINGIA/KUTOKA).
 
Ila mtu mweusi ni afadhali ya nyani kwa ustaarabu, kwanini usiridhike na kiwango chako? Ndiyo maana wanaume mnafirwa siku hizi
Afadhali umesema wewe, kweli ni NYANI, unajua wakati fulani unaweza ukamwangalia alafu ukajifikiria sana kwa nini ni hivyo? Kwenye wastarabu hata kwenye basi hakuna kondakta hata inspector wakati wote, mtu ananunua ticket kwa hiari yake.
 
Back
Top Bottom