Umeongea cha msingi, afu pamekaa kipweke sana.Unajitesa tu bure hakunaga cha maana huko business wala royal. Although sijui kule kwa kawaida kukoje, Kikubwa tunafika pamoja.
Honesty nasafirigi kwa furaha economy kuliko huko
Umeongea cha msingi, afu pamekaa kipweke sana.Unajitesa tu bure hakunaga cha maana huko business wala royal. Although sijui kule kwa kawaida kukoje, Kikubwa tunafika pamoja.
Sifa za kijinga.Kuna vitu hata sio vya kujisifia.
Isipokuwa ijumaa na jumapili ndio panajaa maana watu wa maofisini wanakuwa wengi halafu wanajuana wote 😅Umeongea cha msingi, afu pamekaa kipweke sana.
Honesty nasafirigi kwa furaha economy kuliko huko
Wajapan wana moyo wa Kizalendo sana, wakati nipo Kenshu Japan kwenye Jiji la Tokyo kuna Wabongo tulikuwa nao Kenshu wana tabia kama za hili jingajinga,Miaka ya 1980, pamoja na sababu nyinginezo, kilichoua mashirika yetu ni pamoja na mambo kama hayo
Tuyalinde mashirika yetu
Ndio maana watoto wakiume sasa hivi mnapigwa miti kwa tamaa na kupenda kitonga.Mijitu kama nyie mnatakiw mpigwe tuu sasa unasanua mbinu za nini hamtaki tuenjoy kodi zetu?
Kazi ipoShirika likifa mnalaumu CCM na Abdully
Mzee tola huna la kuongeaNdio maana watoto wakiume sasa hivi mnapigwa miti kwa tamaa na kupenda kitonga.
We mjapan?Wajapan wana moyo wa Kizalendo sana, wakati nipo Kenshu Japan kwenye Jiji la Tokyo kuna Wabongo tulikuwa nao Kenshu wana tabia kama za hili jingajinga,
Wakati wa kupita kwenye gate za kuingia kwenye platform za kupanda treni ni miaka mingi wameendelea hakuna mtu unascan tu kadi, sasa kukawa na mchezo wa kadi moja ukiscan mnaweza kupita wote kuna Mjapan raia mwema aliona alikomaa mpaka wote wasiokuwa kadi walikwenda kununuwa kadi ndio wapite kupanda treni na hiyo tabia ilikoma siku hiyo, imagine hapo hakuna security wala nini zimewekwa electronic mashine mjiongoze wenyewe, wenzetu wana kiwango cha juu sana cha ubinadamu na wanawalea watoto hivyo.
Wewe Jinga Jinga tu huwezi kuelewa nilichoandika.We mjapan?
Punguza shobo Dada. Sisi tunazamia daily (tunafanya kazi Dom tunaish Dar) breakfast bill SGR.Wewe Jinga Jinga tu huwezi kuelewa nilichoandika.
Halafu mtu wa hivi hela anayo ya kulipia hadi Dodoma lakini anafanya wizi tu. SGR watoe tenda tuwashughulikie hawa kiditali.anakagua tiket unazuga unaenda chooni
Hao IT hawana njaa?Halafu mtu wa hivi hela anayo ya kulipia hadi Dodoma lakini anafanya wizi tu. SGR watoe tenda tuwashughulikie hawa kiditali.
Ukikamatwa unapigwa sheria na unapelekwa gerezani miezi sita na ban juu ya hakuna kupanda SGR miaka mitano.
Yaaani Bora angeendelea na mambo yake kimya kimya, jambo lenyewe sio zuri alafu bado analiweka wazi.Huyu sijui ni mtoto wa 2000,kila uchao tunalalama,maadili maadili! Halafu mwana JF kabisa anakuja Kuandika UHARO kama huu. Wimbo wa Michael Jackson "Man in the mirror" huwa una maana sana sema watu huwa hatuzingatii maneno yake.
Kuhangaika kujitia unspoken simu mara unaenda chooni mbona gharama yake ni kubwa zaidi ya 120000 ya Vip!!?una umri gani kwanza!Unalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dodoma na huduma za full VIP [soft drinks na snacks], (badala ya kulipa bei halali ya 120,000) na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni au unapokea simu mpaka aondoke.
behewa za Business class huwa hazijai
USHAURI: toeni staff wanaokagua tiketi wale wote wezi tu. Ndio wanatupa CODE. Abiria atumie kad (sio tiketi, Kama haina pesa geti lisifunguke. (KUINGIA/KUTOKA).
****Msipokee cash. Ndio mlango wa tamaa