Wazamiaji SGR Business Class tujuane!

Wazamiaji SGR Business Class tujuane!

Unalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dodoma na huduma za full VIP [soft drinks na snacks], (badala ya kulipa bei halali ya 120,000) na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni au unapokea simu mpaka aondoke.
behewa za Business class huwa hazijai

USHAURI: fukuzeni wale staff wanaokagua tiketi wale wote wezi tu. Ndio wanatupa CODE. Abiria ascan mwenyewe tiketi, Kama feki geti lisifunguke (KUINGIA (point of origin & KUTOKA-final destination). Hapo ndio mtaona pesa. Vinginevyo Dar-Dom mnasafirisha watu bure na kuwapa chai mule BUSINESS na Royal bila kujua.

****Msipokee cash. Ndio mlango wa tamaa

Pascal Mayalla
Hamna Code hapo we umewachoma tu hao wadandiaji.
Kwanza muhunihuwa hapangi safari ya hivyo.
Nilipanda eurorail kihaki kabisa hadi France,nikaunga safari hadi Amsterdam nikala bata za kutosha,nikapanda U-bahn hadi Rostock unga pale treni ingine ya Berlin( chama kimoja u-bahn)huyo nikazama Copernhagen.
Pale nilikua na joint ticket na kulikua na delar pale kati nikakuta night sleeping-train yangu imeondoka dk tu.
Refund ( no sir you need to pay more for made change ticket you take early Quick route)
Nikaona hawanijui hawa
Nikapanda humo ndani ya treni ingine ya Norway (Mungu si habibi)
nikazama kwanza lounge kula beer na story nyiingi
njiani ajali hii hapa.
Kuna treni ya mizigo imeruka reli.
Ikabidi pale doze dozee,
Tulikaa masaa sasa mi ile nazurura tu njia ni hiyo wote tumekwama Eboh si naliona treni langu lile limeniacha liko mbele kabisa huko.
Aloo nikazama mle ndani,kweli ile suite nimelipia hamna mtu wanaenda iko tupu kisa nilichelewa.
Na wanataka kunikodisha tena.
Nikawaomba nikacheck suite yangu na mwanangu.
Nilijilaza nikarelax kabisa nikamwambia dogo beba mizigo mbele huku treni yetu ipo nayo kwenye foleni😁
Tulifika salama kabisa,no extra money safari yote.
Na tumekaa sana vip lounge,kulala,kushinda bistro ni mimi.
Kijana wangu nadhani hajawahi kunielewa mpaka leo ule mpera mpera.
Kumbe hajui babaake ni muhuni tu aliyebwaga Dalagatan.
 
Siku hizi TT wazambia wanaishia nakonde ngoma ikivuka TT wabongo mpaka dar ikirudi hivo hivo ila bora wabongo wanajali una au huna tiketi wazambia hawajali hilo mzee utajua mwenyewe labda wakubananishe bahati mbaya
Ahahah....bora imekuwa hvyo

Wale jamaa wakikukuta hauna tiketi faini yake hatari.... Na kama hauna hyo pesa wanakushusha popote na mateke juu.
 
Cccm ndiyo walianzisha huu mchezo makada wao wanakata tickets za economy ila wanaenda kukaa behewa la Royal na Business
KumaninaaaaaaZao
 
Back
Top Bottom