Nakazia hapa 🤣🤣Mbona mnamshambulia mleta uzi wakuu?? Au Kuna namna kaiharibu njia ya Siri iliyokuwepo mnaitumia😀😀
Lisu anapenda mizukaNdio maana tunasema Lissu aachana na wapumbavu hawa hata hawamjali wamesharudi kwa wasaanii na mipira ya simba na yanga na kusahau kila kitu
Nimepanda Economy Dar to Dodoma behewa liko mbele kabisa baada ya kichwa, sasa mimi na VIP bora nani?Unajitesa tu bure hakunaga cha maana huko business wala royal. Although sijui kule kwa kawaida kukoje, Kikubwa tunafika pamoja.
😅😅😅😅😅Nimepanda Economy Dar to Dodoma behewa liko mbele kabisa baada ya kichwa, sasa mimi na VIP bora nani?
Wewe ni mjinga kama huyo, yani ukate ticket Dar to Moro halafu siku hiyo mifumo imesomana vizuri kuna watumishi walishabook Moro to Dodoma lazima ushushwe kwenye treni ukale ujanja wako.Nakazia hapa 🤣🤣
Japo watu wanamlaani na kumtukana sana ila kimoyo moyo watu wanafurahia kupewa hiyo fursa huku baadhi wakitaka ibaki kuwa siri wengi wasijue
Analioa business ila ya kuishia morogoro kisha yeye anaendelea mpaka dodomaWaafrika ni ngozi ya kuonea huruma sana, umekata tiketi ya economy, unazamia business, ili iweje? Kwa nini usiishi kulingana na ulichonacho?
Ipo siku yake ndio atajuwa hajui.Analioa business ila ya kuishia morogoro kisha yeye anaendelea mpaka dodoma
Utakimbia chooni mara ngapi?Unalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dodoma na huduma za full VIP [soft drinks na snacks], (badala ya kulipa bei halali ya 120,000) na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni mpaka aondoke.
**behewa za Business class huwa hazijai.
Nchi hii ukipata mianya ya kukwepa kodi we fanya tuUnalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dodoma na huduma za full VIP [soft drinks na snacks], (badala ya kulipa bei halali ya 120,000) na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni mpaka aondoke.
**behewa za Business class huwa hazijai.
We zubaa wenzio wanapigaInasikitisha sana. Typical Black people mentality