Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,698
- 35,580
Aibu utaona wewe, hana habari 😂Aibu
Aibu utaona wewe, hana habari 😂Aibu
Sasa inakuuma nn kwenda tupu bila watu iyo business class na kuingia hao wazamiaji bora nn,kama inakuuma chomoa ujambe kwanzaIla mtu mweusi ni afadhali ya nyani kwa ustaarabu, kwanini usiridhike na kiwango chako? Ndiyo maana wanaume mnafirwa siku hizi
Umeamua kuweka wazi ujinga wako 😂😂😂Unalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dom na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni mpaka aondoke.
**behewa za Business class huwa hazijai.
Hio kufirwa hawajaanza siku hiziNdiyo maana wanaume mnafirwa siku hizi
Kuphirwa hakujaanza zama za SGRIla mtu mweusi ni afadhali ya nyani kwa ustaarabu, kwanini usiridhike na kiwango chako? Ndiyo maana wanaume mnafirwa siku hizi
Mhujumu uchumi wa TRC kwenye moja na mbili 😂.Unalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dom na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni mpaka aondoke.
**behewa za Business class huwa hazijai.
sawa ila kuanzia Leo ushawapa taarifa Usijaribu tena huu mchezoUnalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dom na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni mpaka aondoke.
**behewa za Business class huwa hazijai.
Huyu sijui ni mtoto wa 2000,kila uchao tunalalama,maadili maadili! Halafu mwana JF kabisa anakuja Kuandika UHARO kama huu. Wimbo wa Michael Jackson "Man in the mirror" huwa una maana sana sema watu huwa hatuzingatii maneno yake.Kitu amepata mtoa mada ni tofauti na alicho kitegemea
ARAAAAA,NIMEBAINI HIRI SASA NITANGOJA MTOKE VYOONI.(Huu ni ujambazi tu)Unalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dom na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni mpaka aondoke.
**behewa za Business class huwa hazijai.
Jambo baya lazima likemewe.Mimi sijawahi kupanda hiyo treni lakini nimekemea,kwahiyo kitu ulichokiandika ni irrelevant.Mbona mnamshambulia mleta uzi wakuu?? Au Kuna namna kaiharibu njia ya Siri iliyokuwepo mnaitumia😀😀
Wanaona ujanja,ikifa wataanza kulalamika tena. Sisi wabongo sijui tutastaarabika lini.Ndio maana waliweeka Mfumo wa NIDA.
wafu walikuwa wanatoa Nauli ya Pugu,.wanaenda hadi Dodoma.