Wawezaje Jua kama Mkeo ame Cheat Siku Hiyo?

Wawezaje Jua kama Mkeo ame Cheat Siku Hiyo?

That is first grade naivete.

Kumbuka waafrika tuu ndio wengi wanaamini mume Kuwa na nyumba ndogo na hata watoto wa nje lakini sio mwanamke Kuwa na mume mdogo na mtoto wa pembeni nazungumuzia kulingana na kesi nyingi za za kindoa mkuu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wewe hujachunguza kumbe.

Kuna makabila hapa hapa Tz huwezi kumuacha mke eti kisa amezaa nje ya ndoa.

Ambayo mi nachukulia ni kama wanakubali mke kuwa na kidumu.

Ningeyataja na wenyewe wasingenibishia...ila sioni sababu

Kumbuka waafrika tuu ndio wengi wanaamini mume Kuwa na nyumba ndogo na hata watoto wa nje lakini sio mwanamke Kuwa na mume mdogo na mtoto wa pembeni nazungumuzia kulingana na kesi nyingi za za kindoa mkuu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
..Mke b.w.e.g.e. ndio wale unakuta anapigiwa mpaka simu na vimada yeye anachojua kufanya (silaha yake) ni kilio tu...Kama si b.w.e.g.e hata mumewe kama anachiti kwa siri atahakikisha anawapa masharti vimada wake kwamba wife wangu si wa kuchezewa...namuogopa sana.

Anaweza kulia kwa hasira za muda flani tu..
Baadaye naye akaamua kuwa kicheche kama mumewe!
Kulia kwa mwanamke ni kupooza machungu tu ya muda ule..
Kinachofanya mume achiti hadharani nadhani sio kwa sababu ya ubwege wa mkewe..
Wkati mwingine anaweza kuwa anatafuta sababu ya kumuondoa mke 'jeuri' ndani ya nyumba!!
 
Mh.

Wanaochiti adharani ni opposite..ni wenye wake wa design ya "ndiyo Mzee"

Uwe na mke mjeuri utachiti adhari?...thubutu!

Anaweza kulia kwa hasira za muda flani tu..
Baadaye naye akaamua kuwa kicheche kama mumewe!
Kulia kwa mwanamke ni kupooza machungu tu ya muda ule..
Kinachofanya mume achiti hadharani nadhani sio kwa sababu ya ubwege wa mkewe..
Wkati mwingine anaweza kuwa anatafuta sababu ya kumuondoa mke 'jeuri' ndani ya nyumba!!
 
Aisee tutakupa BAN humu..lol
umeanza kututusi now lol

Huyu naona analeta utani....Bora umempa last warning!!

Kwangu it simply means
anajua 'mapungufu yake' ambayo yanaweza changia
hata a perfect woman to change.....
so ni almost like 'chochote nitakachofanya,the results are the same'
why change?

Wakuu naona mmesahau kitu kimoja muhimu...Kuna mwenye uhakika kama huyu dogo (Haji Rama) ana uwezo wa kuzalisha mwanamke????

Mie ninayemwona mbaya ni Salama, ambaye bila aibu anamuuliza mtu mwaswali ambayo kwa ujumla yanaweza kumsababishia character assassination!

Ila nimefurahi kwamba karibi watu wote waliochangia kuhusu huyu mwanamuziki wamekiri kwamba kuna sifa fulani ambazo mwanamume wa Kiafrika anatakiwa kuwa nazo.....!!!

Hili limekuwa bonge la triangulation ya mada yetu ile tukufu ya mwanamume wa kweli wa Kiafrika!!

Babu DC!!
 
Mie ninayemwona mbaya ni Salama, ambaye bila aibu anamuuliza mtu mwaswali ambayo kwa ujumla yanaweza kumsababishia character assassination!

Salama ndiyo mbaya? Hahahaaaa duuh kaazi kweli kweli.

The poor gal is just doing her job and part of her job is to ask provocative questions. It is up to the subject to refuse to discuss any issues he/she deems to personal or private.

Kumuona Salama kuwa ni mbaya ni uelewa mdogo. Jamaa alikuwa ana haki kabisa ya kusema hataki kuongelea hayo kwani ni yake yeye na familia yake.

Hakuna kibaya alichofanya Salama. Mtu kama hutaki kujibu maswali basi usijibu. Lakini siyo ujibu halafu mbaya aonekane Salama. What the hell....
 
Uelewa mdogo wa nani mkuu??

Babu DC!!
 
Inawezekana kabisa kuna kitu anataka ku prove bila kujijua. Au ndo zile za kitanda hakizai haramu.

Eti anasema 'mke wangu yatima..nikimwacha hana pa kwenda' Yatima my foot...angejua hana pa kwenda angetulia. Aende kwa walomtia mimba. Anamhuhurumia mtu asostahili.

...lol! Wao kazi yao kutia mimba tu kisha wanamwambia haya rudi kwa mumeo (mume jina) ...wakijisikia kujirusha naye tena wanamtafuta. Hawana gharama yoyote jamaa anawalelea mimba na watoto pia kwanini wasiendelee kujirusha kwa raha zao?
 
Ni kujitafuta presha zisizo na maana, hv humu duniani tungekua tunaona au tunajua kila kinachoendelea nadhani tungechinyana balaa. The less you know the better! Ukitaka demu wa peke nunua sex toy...
 
me nina dawa ya kujua kama mwenzio kakucheat ukitaka jua muonyeshe live unamcheat then next day utajua!
 
Life is a teacher yani mnajijua vizuri, na mnajua kabisa something’s not right.

Wanasema kitu cha kwanza kabisa kuona kama something's not right, ni kuanza kumshakia mke/mme wako.

Ukisha anza kumshakia mke/mme wako vibaya, lazima mabaya yatatokea tu...poleni sana wenye kushakia wake/waume zenu.
 
Ulishapata utaalam huo na mie unigawie kidogo?
Mambo ya kupena maumivu ya roho haya

Sasa ukishajua si ndo maumivu ya roho, bandama, na mgongo yatakupata sawasawa?
Dawa ya mahusiano ni kuamini everyone cheats except you and your partner. And he is guilty until proven innocent, that is no scandal 10 years since he died.
 
Ziko njemba nyingine zenye wivu uliopitiliza huwa zinanusa nyeti ili kuweza kujua. Kwa maoni yangu huu ni unyanyasaji wa hali ya juu. Kama humuamini mkeo kiasi cha kumnusa nyetini kila anapoingia nyumbani basi inabidi uvunje ndoa.

Teh teh teh siyo kunusa tu inasemekana kuna ambazo zinaongea kwamba zimedinywa, WANATEGESHA SIKIO ZINAMNONG'ONEZA.......!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwani married people wana-cheat?
:wacko::eek2:
:baby::baby:
mara nyingi huwa wana-cheat na family friends wao, kwa sababu inakuwa ngumu kustukia, hata akionwa nae inaonekana ni kawaida.
kipindi ukimwi unaingia nilikuwa na umri mdogo sana. nilikuwa nashangaa sana kuona watu wengi waliokuwa ndani ya ndoa ndio walikuwa na hofu zaidi kuhusu ukimwi. nikawa najiuliza ni kwa nini na wao wanaogopa wakati wao wapo kwenye ndoa?
Nilivyokuwa mkubwa nikaanza kutambua kumbe ndoa nyingi sio perfect.
 
ukimuhisi mkeo ame-cheat(90%), wakati wa ku-do nae muingize kidole fikichafikicha halafu nusa kiaina, ukisikia harufu ya rubber(condom) shukuru jua ametiwa na condom. usiposikia harufu ya rubber jiandae kubeba VVU.
 
Back
Top Bottom