Wawezaje Jua kama Mkeo ame Cheat Siku Hiyo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wawezaje Jua kama Mkeo ame Cheat Siku Hiyo?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lambardi, Aug 18, 2012.

 1. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,604
  Trophy Points: 280
  Heshima mbele wana JF na mapumziko marefu ya weekend and eid el fitr,naomba kuongeza upeo tu kupenda kujua kwa wapendanao au walio ndoa kwa jinsia zote utajuaje kama mwenza wako ametoka nje ya ndoa kwa siku hiyo?au hata kesho yake kama inawezekana?Nimewahi sikia wanawake wanaweza kujua performance ya mwenza wake:sina hakina na hilo pia kwa wanaume je?
   
 2. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Sasa ukigundua si utamuacha..
  Kiufupi ni ngumu kujua kama mwenzako kakucheat..
  Kwa sababu cheaters wengi they are so clever..
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  kwa mwanamke huwezi hata kujua. labda awe limbukeni
   
 4. Buntungwa

  Buntungwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 343
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  mkuu kama uko nae karibu sana waweza mjua,unatakiwa uweke alama ukikuta alama imesoge ujue ametoka nje
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,548
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  Ziko njemba nyingine zenye wivu uliopitiliza huwa zinanusa nyeti ili kuweza kujua. Kwa maoni yangu huu ni unyanyasaji wa hali ya juu. Kama humuamini mkeo kiasi cha kumnusa nyetini kila anapoingia nyumbani basi inabidi uvunje ndoa.   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. v

  valid statement JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  kwani kwa mwanaume utajua??
   
 7. MMDAU

  MMDAU Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mada kali sana sijui kwa nini umeuileta nahisi kuwa unahisi amekusaliti mtu wako so unajaribu kujua njia za kumgundua
  back 2 the topic mwanamke aliezoea mchezo huu huwezi kumjua na ni vigumu kuacha kwa upande wa mwanaume napo inakuwa vigumu labda asiende kuoga basi mke wake akisikia harufu tofauti atajua leo alikuwa kwa chausiku au mwajuma
   
 8. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  scent ya kila mtu inajulikana.siku ikibadilika utajua tu.
   
 9. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama unaweza kujua! Kungekuwa kunauwezekano unamfunga mita alaf we una kuwa unacheza na unit tu ukikuta unit zimeongezeka unajua hapo ametoka nje! Ila kinyume na hapo muamini tu usije ukajisababishia ugonjwa wa moyo!
   
 10. Baba Watoto

  Baba Watoto JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 218
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  There is no way unajua, hata kama scent zinajulikana, kila kitu ni usafi bana. Mwanamke anaeza lala na wanaume watatu au zaidi kwa siku na hakuna hata mmoja atajua. Na hii maendeleo ya teknolojia ya unukiaji ndo kabisaaaaaaa
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  Kazi ipo......
   
 12. nipeukweli

  nipeukweli JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  well hii ni tata nisidanganye...this as much as I can put it. siwezi sema exactly mwanamke aliyecheat on that very day anakuwaje, ila mwenye harakati hizo za kuelekea huko (yaani aliyeanza tabia ya cheating) utaona anakuwa extra muangalifu hasa na suala zima la muonekano wake...atakuwa anaweka mkazo kujiweka kama enzi zile alivyoanza anza kuwa na wewe. vile vitu alikuwa anatupia ili apate attention yako...i guess u get what I mean!
  kama huyo mwanadada ni pooyoyo utaona hadi vijizawadi ambavyo havihusiani na wewe alafu ghafla vinapotea katika mazingira ya kutatanisha. vilevile anaweza kuwa na expression za furaha ambayo ukichek vizuri, hawezi kuishare na wewe!

  nimejaribu tu kugusia kidogo...
   
 13. Anne Maria

  Anne Maria JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kiukweli ni ngumu sana kujua ila kama una mashaka na unahitaji ushahidi ajiri private investigator wa kumfuatilia mwenza wako huku akiwapiga picha na kukuletea then utakua na ushahidi wa kujionea ila kwa kumtambua siku hiyo aliyotoka kucheat inakua ngumu sana...... ukihitaji private investigator kwa ajili hiyo njoo pm ntakusaidia...
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kama hautumii hiyo tigo je?
   
 15. mjombo's

  mjombo's JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  no measurement in dis
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ungetoa mfano wa hiyo alama ingekua poa zaidi
   
 17. M

  Mzee wa fund JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkuu hiyo kitu ipo kwa wanandoa?
   
 18. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,604
  Trophy Points: 280
  Kuna mshikaji wetu wa karibu anafanya hivyo kwa mke wa mtu ofisini,wakati wa mchana wanasepa kona wanamalizana imekuwa tabia ambayo wameshaizoea(ndoa ya binti ina matatizo kidogo nadhani) sasa kwa sisi tunaojali utu na kuthamini ndoa tunaumia sana na kujipigia mahesabu vipi upande wetu?maana jiji kubwa na penzi ni kipofu kabisa,huwa tunajiuliza hawa wetu huko wako salama kiasi gani?ni live story tunayoiona na hatuipendi kabisa!nikaona niweze ku share na wadau kama kubadilishana mawazo maana safari ya ndoa ni ndefu sana jamani yahitahi uvumilivu sana na busara zake......na Mungu pia
   
 19. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,496
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Hakuna sababu ya kutka kujua kama anacheat maana hiyo ina madhara makubwa kuliko faida. Zaidi unaweza kuishia kugesi. Mwanamke huanza kucheat wakati unapoonyesha mapungufu mengi. Kwa hiyo kwanza jipime wewe ukiona mapungufu yako ni mengi kuliko mlipoanza kupendana basi angali tabia yake. Mwanamke haanzi from no where isipokuwa kama tabia hiyo ni ya tangu zamani
   
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Kwani married people wana-cheat?
  :wacko::eek2:
  :baby::baby:
   
Loading...