...duu,hii mada ina utata si wa kitoto,imechanya kiasi watu kusahau swali halisi la mtoa mada na kuanza kubishana/kulumbana nje ya point,mie nazani kama nimeelewa swali ni kuwa UNATAKA KFAHAMU KAMA UNAWEZA KUJUA KUWA MKEO/MSICHANA WAKO katoka KULIWA ''KITUMBUA'' chake SIKU YA TENDO lenyewe,,,kama niko sahihi basi ntakuwa na jibu majibu machache kwako,sabu yote yawezeakana nazani;
1) Unaweza usijue kabisa;endapo wee pia ulitoka kula ''mambo'' jana yake au asubuhi/mchana/jioni hiyo kabla hajagawa kwingine,hapa namaanisha kama utakuwa unategemea muonekano wa eneo zima la ''K'',itakuwa kama ulivoiacha afta kuitafuna.
2) Unaweza kujua kama unamfahamu vema mtu wako KITABIA na pia KIMAUMBILE na muonekano wa 'K' yake usipoila na baada ya kuliwa inakuwaje;labda nikijazilizia KITABIA ni kuwa utaona utofauti tuu,kama mlikuwa mna ugomvi basi anaweza kuwa na hapiness isiyohusiana na wewe,kujishtukia ukikaa close naye(i.e afraid U might smell new ones),etc,ila hii itakupa zaidi SUSPICION kuliko confirmation,sabu confirmation nazani ni kwa kuiona 'K',sasa jinsi gani utaweza kuiona 'K' yake hiyo mie sijui ingawa naamini HAITOKUWA KWA KUMPEKUA FROM NOWHERE,hiyo Mkuu nazani yeyote mwenye akili timamu akiskia ni KASHFA NA FEDHEHA kwako kama MWANAUME KAMILI.
Mwisho labda mie nikupe deal niliyokula na wakwangu kuhusu LOVE AND SEXUAL relationship yetu;
1) NO CHEATING btn us!!
2) Akitongozwa/tongoza,zen akatae/akataliwe nikajua bila yeye kuniambia;WE HAV A PROBLEM TO DISCUSS!!
3) Akitongozwa/tongoza,zen akubali/akubaliwe nikajua bila yeye kuniambia;WE HAV A BIGGER PROBLEM TO DISCUSS!!
4) KACHEAT;zen WE AR DONE ONCE4OL!!
5) SINTOMFATILIA WALA KUINGILIA FREEDOM YAKE;i.e limitations,kumchagulia friends,kucheki sim/emails,etc pasipo sababu zozote!!
Kwahiyo inshort nazani inabidi uangalie misimamo yako,mipaka yako,stand yako,ilani zako,etc zimevunjwa vipi na nini ufanye ili kuhandle hilo tatizo,sabu MIE BINAFSI SIWEZI KUMFATILIA MWANAMKE BILA KUWA NA SABABU ZA MSINGI za kunisukuma nifanye hivyo,KUJUANA NI BEST OPTION,mie wangu najua hata kama akiwa hana stimu ila kaniruhusu tu ili asinikate stimu zangu,nikishashtukia tuu huwa nashuka kifuani2naendeleza story til mboji...