Wawezaje Jua kama Mkeo ame Cheat Siku Hiyo?

Wawezaje Jua kama Mkeo ame Cheat Siku Hiyo?

Mtu anapokuuliza 'utaacha wangapi'.. What does that imply?

Kwangu it simply means
anajua 'mapungufu yake' ambayo yanaweza changia
hata a perfect woman to change.....
so ni almost like 'chochote nitakachofanya,the results are the same'
why change?
 
Ukweli ukishaanza kujiuliza maswali hayo mawili hapo juu ujue tayari kuna tatizo upande AMA wako au wa huyo unaehisi kujiuliza maswali juu yake. Kwa mwamaume wa kiafrika Anaamini mwanamke hawezi kucheat ikitokea hofu tuu kabla hujachukunguza chochote chukua hatua utaumia bure. Tena action ya kujifunza lazima mwanaume ujiamini. DUME lenye Uhakika Halimchungulii Mkewe.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kwangu it simply means
anajua 'mapungufu yake' ambayo yanaweza changia
hata a perfect woman to change.....
so ni almost like 'chochote nitakachofanya,the results are the same'
why change?

Why change? Don't we all aspire to have the best in everything? So why settle for less just out of fear?
 
Why change? Don't we all aspire to have the best in everything? So why settle for less just out of fear?

Don't we?
people settle for less in everything
'bora siku ziende'...
not that nasema ni sahihi au naunga mkono...but it is a reality
 
Don't we?
people settle for less in everything
'bora siku ziende'...
not that nasema ni sahihi au naunga mkono...but it is a reality

People with high self-esteem and a 'can do attitude' don't settle for less.

I for sure don't settle for less and I seldom lower my standards just for the sake of 'bora siku ziende'.
 
Lakini kumbuka kuwa kuzaa ni matokeo. Kiini au source ni cheating.
Je kama hatazaa kwa kuwa labda anatumia njia za uzazi wa mpango...utamsamehe?

...Kama hili la kuzaa nje ya ndoa ni sababu nzuri ya kuivunja ndoa....halivumiliki kusema kweli.
 
Inahitaji moyo bana kusamehe!!...Ni wachache sana wenye mioyo ya namna hiyo.

Lakini kumbuka kuwa kuzaa ni matokeo. Kiini au source ni cheating.
Je kama hatazaa kwa kuwa labda anatumia njia za uzazi wa mpango...utamsamehe?
 
People with high self-esteem and a 'can do attitude' don't settle for less.

I for sure don't settle for less and I seldom lower my standards just for the sake of 'bora siku ziende'.

YES but sio wengi kihivyo
in some society hasa ya ki tz..
asking for the best seems like 'too much demanding'...
ukizaliwa KATIKA 'A third world country' having high self esteem itself is an achievement...
 
Unachosema Boss chaweza kuwa na ukweli. Nilipokuwa mdogo nilikaa na society fulani karibia kila nyumba ina mtoto wa nje ya ndoa na ni wa mama. Na mimi nilikuwa mdogo ...some of these children walikuwa marafiki zangu...na haikuwa siri. Unakuta mtoto white sana kuliko wenzie...au mpole kuliko wenzie...yani kuna utofauti, ukiuliza wala hawafichi wanasema ni mtoto mama alizaa na mwanaume mwingine. Na ni mtoto wa kati si kuwa aliolewa nae. Na ndoa inasonga.

Mi nilikuwa nashangaa lakini hilo kabila kwao mtoto ni dili....hata kama si wako...ndio maaana humu hatuelewani lugha; kwa kuwa wengine mtoto kwao ni kila kitu. Kitanda hakizai haramu.


YES but sio wengi kihivyo
in some society hasa ya ki tz..
asking for the best seems like 'too much demanding'...
ukizaliwa KATIKA 'A third world country' having high self esteem itself is an achievement...
 
Inawezekana kabisa kuna kitu anataka ku prove bila kujijua. Au ndo zile za kitanda hakizai haramu...Eti anasema 'mke wangu yatima..nikimwacha hana pa kwenda' Yatima my foot...angejua hana pa kwenda angetulia. Aende kwa walomtia mimba. Anamhuhurumia mtu asostahili.

Wakati mwingine nashindwa kuwaelewa wanawake..yaan huyu bwana kawa msamehevu hapa anaonekana *****..
Angemtimua huyu mwanamke angeonekana hana huruma..
Sasa sijui ilitakiwa afanyaje??..Japo kiukweli kukiri hadhalani kumemdhalilisha sana mkewe kuliko yeye kwa mtazamo wangu!
 
Heshima mbele wana JF na mapumziko marefu ya weekend and eid el fitr,naomba kuongeza upeo tu kupenda kujua kwa wapendanao au walio ndoa kwa jinsia zote utajuaje kama mwenza wako ametoka nje ya ndoa kwa siku hiyo?au hata kesho yake kama inawezekana?Nimewahi sikia wanawake wanaweza kujua performance ya mwenza wake:sina hakina na hilo pia kwa wanaume je?
yaani K inachengua namna hii?
 
Akichitiwa anajiliza liza tu...analetewa mtoto wa kwanza analia tuuu, wa pili, analia tu wa tatu wa nne..Na uwezo wa kufanya maamuzi magumu anao.

Lazima mume awe na heshima kwa mkewe kama mkewe si b.w.e.g.e.

Mke b.w.e.g.e. ndio wale unakuta anapigiwa mpaka simu na vimada yeye anachojua kufanya (silaha yake) ni kilio tu.
Kama si b.w.e.g.e hata mumewe kama anachiti kwa siri atahakikisha anawapa masharti vimada wake kwamba wife wangu si wa kuchezewa...namuogopa sana.



Hata mimi nimeisikia leo hii ya mke *****..
nyumba kubwa huyu anakuwa vipi?
 
Back
Top Bottom