Wawezaje Jua kama Mkeo ame Cheat Siku Hiyo?

Wanaume wa siku hizi tumeishiwa mpaka tunawinda kina mama wasi cheat? Kama wanaume wangekuwa wanabeba mimba mbona hii dunia ingejaa watoto wa mitaani maana wanaongoza kwa ku cheat.
Wanacheat na wanawake ambao na wao wana bwana zao kwa hiyo na hao(wanawake) wanacheat. Hapo ngoma droo. hakuna wanaocheat zaidi ya wenzao, kwa sababu mwanaume hawezi kucheat peke yake bila mwanamke na mwanamke hawezi kucheat peke yake bila mwanaume labda atumie dildo.
 
Wanacheat na wanawake ambao na wao wana bwana zao kwa hiyo na hao(wanawake) wanacheat. Hapo ngoma droo. hakuna wanaocheat zaidi ya wenzao, kwa sababu mwanaume hawezi kucheat peke yake bila mwanamke na mwanamke hawezi kucheat peke yake bila mwanaume labda atumie dildo.

Tunalalamika nini sasa?
 
Heshima mbele wana JF na mapumziko marefu ya weekend and eid el fitr,naomba kuongeza upeo tu kupenda kujua kwa wapendanao au walio ndoa kwa jinsia zote utajuaje kama mwenza wako ametoka nje ya ndoa kwa siku hiyo?au hata kesho yake kama inawezekana?Nimewahi sikia wanawake wanaweza kujua performance ya mwenza wake:sina hakina na hilo pia kwa wanaume je?
Ni next to impossible kumstukia mtu mwenye kipaji cha ku-cheat.
Kama ni mke labda itokee amebanduliwa na mtu mwenye mtambo mnene mno hapo utaweza kushtukia kama ni muda mfupi umepita baada ya tukio, maana K yake itakuwa mbendembende ladha/viscocity tofauti kabisa, kama ni suruali utaiona buga kinoma.
 
Hakuna sababu ya kutka kujua kama anacheat maana hiyo ina madhara makubwa kuliko faida. Zaidi unaweza kuishia kugesi. Mwanamke huanza kucheat wakati unapoonyesha mapungufu mengi. Kwa hiyo kwanza jipime wewe ukiona mapungufu yako ni mengi kuliko mlipoanza kupendana basi angali tabia yake. Mwanamke haanzi from no where isipokuwa kama tabia hiyo ni ya tangu zamani
Hapo ndipo wanawake wanapotushika ujinga wanaume......
 
...Kama hili la kuzaa nje ya ndoa ni sababu nzuri ya kuivunja ndoa....halivumiliki kusema kweli.
Best, inategemea aisee. Kama baba ameshazaa watoto wanne nje na wanajulikana, kuna familia ziko very fair. Tena unakuta mama mkwe ndo anamtetea mkazamwanae kuwa aachwe na asamehewe kama zilizopita ambavyo mwanae alisamehewa.

Msome andate hapa chini, unajua sikuchukulia serious uliposema ishu ya kupikichana vidole? Kweli kuishi kwingi kuona mengi

ukimuhisi mkeo ame-cheat(90%), wakati wa ku-do nae muingize kidole fikichafikicha halafu nusa kiaina, ukisikia harufu ya rubber(condom) shukuru jua ametiwa na condom. usiposikia harufu ya rubber jiandae kubeba VVU.
 
Wivu ni muhimu ndani ya mapenzi lakini ukipitiliza kiasi cha mwanamke kuvua chupi ili anuswe kumthibitishia BF/Hubby kwamba hajafanya mchezo huo basi inabidi mdada aonyeshe kwa kiwango cha juu kabisa kutoridhishwa na tabia hii na kama ikiendelea basi hana budi kuvunja ndoa/mahusiano vinginevyo hana wa kumlaumu isipokuwa yeye mwenyewe ikiwa ataruhusu kudhalilishwa kiasi hiki.

Best, inategemea aisee. Kama baba ameshazaa watoto wanne nje na wanajulikana, kuna familia ziko very fair. Tena unakuta mama mkwe ndo anamtetea mkazamwanae kuwa aachwe na asamehewe kama zilizopita ambavyo mwanae alisamehewa.

Msome andate hapa chini, unajua sikuchukulia serious uliposema ishu ya kupikichana vidole? Kweli kuishi kwingi kuona mengi
 
mie namchunguza kila atokapo kazini... nikikuta kwekundu na ujiuji...amekwiishaaa
 
Wewe hujachunguza kumbe.

Kuna makabila hapa hapa Tz huwezi kumuacha mke eti kisa amezaa nje ya ndoa.

Ambayo mi nachukulia ni kama wanakubali mke kuwa na kidumu.

Ningeyataja na wenyewe wasingenibishia...ila sioni sababu
Hii imemtokea mtu(mwanaume) ambaye namfahamu kabisa. Mke alizaa nje, mtoto alikuwa mweupe sana wakati wao(mke na mume na ukoo zao ni weusi vibaya mno) Mume hakuleta fujo mtoto alipozaliwa kwa sababu alikuwa anamuamini sana mkewe. Wakati mtoto anafikisha umri wa miaka mitano kwa bahati mbaya mume akamkuta sehemu mke yuko na mwanaume ambaye amefanana vibaya mno na huyo mtoto. Baada ya kumbana mkewe mkewe akakiri kwamba yule jamaa ndio baba wa mtoto. Mume akawaarifu wazazi wake(wazazi wa mume) kwamba anampa talaka mkewe kwa sababu amezaa nje. Wazazi wakagoma wakamwambia ni kinyume na mila hivyo ni lazima aendelee nae. Jamaa akaleta fujo, wazazi wakamwambia akimuacha huyo mke wao watampa laana. Mpaka leo jamaa anaishi na mke wakati mtoto wa pili sio wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom