Umesoma historia ya Obama na historia ya baba yake?
Jamaa anachekesha...ni Muislamu wanamuuliza kama ana mpango wa kuongeza mke.
Eti anasema hana mpango kwa kuwa yeye mdogo hana uwezo wa kulea familia nyingine kwa kuwa tayari ana watoto watatu na kuna uwezekano wa kuletewa wengine wa ziada...yani amejipanga kupokea watoto toka kwa mkewe pindi atakapo chiti tena. Huyu lazima amelishwa limbwata!
Nikwambie kitu malezi yetu huwa yanaleta vitu vya ajabu mno
unaweza kukuta huyu jamaa babaake alikuwa the apposite
wale wazee wanaozaa vyo ovyo na kutelekeza watoto
sasa anajaribu so hard kuwa tofauti na baba yake
usikute na yeye alilelewa na 'wasamaria wema'
so 'analipa fadhila' sisi hatujui
Ndiyo nimeisoma. Lakini Michelle hajamzalia Obama Jr. watoto nje ya ndoa yao. Au Sasha na Malia ni wa nje ya ndoa?
Mie amenistaajabisha sana NK, namuonea huruma kusema kweli...Dah! Mkewe ataendelea kujirusha kwa raha zake ili kuongeza familia toka viwanja vya ugenini. Nafasi ikiruhusu nataka niyasikilize mahojiano yote.
so watu huwa kama baba zao au kinyume na baba zao
for good or for bad....
wengine ni wema kupindukia sababu unakuta baba zao walikuwa majambazi ya kutisha lol
Ujue mkewe nae atakuwa anakiangalia hiki kipindi. Ningekuwa mkewe huyu jamaa ningemzalia mharabu au muhindi kabisa tubadili mbegu kwenye ukoo...si hajali.
Nimezungumzia jinsi mtu anavyokuwa
labda ana 'personal conflicts' zilizoletwa na malezi...
Obama alikuwa na baba asiejali sana watoto na alizaa tu ovyo ovyo
Yeye Obama akahakikisha hawi kama baba yake...hana watoto wa ovyo ovyo
na ni 'family guy'
so watu huwa kama baba zao au kinyume na baba zao
for good or for bad....
wengine ni wema kupindukia sababu unakuta baba zao walikuwa majambazi ya kutisha lol
Ujue mkewe nae atakuwa anakiangalia hiki kipindi. Ningekuwa mkewe huyu jamaa ningemzalia mharabu au muhindi kabisa tubadili mbegu kwenye ukoo...si hajali.
Ndio maana nikasema watu kama hao kuna kitu wanataka ku prove kwa nguvu zote...kama "am not like my dad"
Sasa Haji wewe unamchukuliaje? Ni mwema kupindukia? Ni b.we.ge? Au ni epitome wa mwanaume wa Kiafrika?
Leo nimegundua na nimethibitisha kitu
'misimamo yako inatokana na 'ukali' wa mumeo...
ungepata mume .b.w.e.g.e...ungekuwa tofauti pengine
naamini kuna kitu very wrong na makuzi yake
unajuaje labda hana baba wala mama wala sgangazi au mjomba
mkewe huyo ndo first family he knows....unafikiri ni easy kumuacha?
labda alikuwa mtoto wa mitaani all his life until alipompata huyo mkewe..
na hakuwa na kazi na mkewe thru vibuzi vyake ndo waliishi hadi hapo we unamuona kwenye tv...
Well, watu tumetofautiana. Huenda kabisa yeye ana matatizo ambayo sisi hatuyajui. Labda ana low self-esteem na anadhani kwamba hawezi kupata mwingine atakayemheshimu. Au labda ndo wale wale wenye kufikiri 'utaacha wangapi'.
Either way, sisi tutabaki ku-speculate tu. Lakini pia, hiyo haiondoi ukweli kuwa huyo mkewe kamdhalilisha sana. Na kwa mtazamo wangu, mimi namuona huyo jamaa kuwa ni b.wege tu.
Mwanaume wa kweli hawezi ku put up na upumbavu kama huo. Atachukua hatua ili kulinda heshima yake. Ni mtazamo tu.
Mume wangu si b.w.e.g.e wala mi mwenyewe si mke b.w.e.g.e
Kila mmoja ana high propensity ya kufanya maamuzi magumu na hiyo inatufanye tusichukuliane 'for granted'.
Nimegundua baadhi ya watu ni waoga mno wa kuachana. Why?
Nimegundua baadhi ya watu ni waoga mno wa kuachana. Why?