KERO Watumishi Hospitali ya Benjamini Mkapa tunakatwa stahiki zetu bila maelezo

KERO Watumishi Hospitali ya Benjamini Mkapa tunakatwa stahiki zetu bila maelezo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
1. Tunafanya kazi masaa ya ziada kama tunavyopangiwa ila cha ajabu tunakatwa malipo ya stahiki zetu. Mfano: Kama umefanya masaa ya ziada kwa siku sita unalipwa mbili tu. Hizi nne hazilipwi na hazitolewi maelezo.

2. Tunaomba Wizara ya Afya na mwajiri wetu Katibu Mkuu Kiongozi itupe muogozo na maelezo juu ya haya makato %10 (km nilivyoambatanisha) na kwanini isiangalie nje zaidi wenzetu wanafanyaje kuongeza mapato bila kukata stahiki za watumishi?

IMG_2303.jpeg
 
Malengo yasipotimia mnawakata watumishi 10% kwenye posho zao tena zilizo kwenye utaratibu wa kawaida wa kiutumishi? Daah hii nchi hii.​
 
View attachment 3448518
BMF inaendeshwa Kidalali siku hizi.
 
madawa na vifaa tiba vinunuoiwe Kwa posho za vikao kweli au Mimi sijaelewa
 
Hahahah!! Sicheki kama mazuri. Hii nchi inaongozwa na Dalali.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Malengo yasipotimia mnawakata watumishi 10% kwenye posho zao tena zilizo kwenye utaratibu wa kawaida wa kiutumishi? Daah hii nchi hii.​
Posho hazilipwi na hazina, hulipwa na kituo. Hata kule kwenye Halmashauri hali iko hivyo, kama hamjakusanya mapato mtashindwa kujilipa.
Kwa bahati mbaya watumishi usipowalipa wanajua namna ya kujilipa
 
Malengo yasipotimia mnawakata watumishi 10% kwenye posho zao tena zilizo kwenye utaratibu wa kawaida wa kiutumishi? Daah hii nchi​

Malengo yasipotimia mnawakata watumishi 10% kwenye posho zao tena zilizo kwenye utaratibu wa kawaida wa kiutumishi? Daah hii nchi hii.​
Hizo Posho hulipwa kwa mapato ya ndani na hii ni hospitali ambayo mapato yao Makuu wanagenerate wao wenyewe!! Na ukumbuke serikali yako haitoi madawa sijui vitendanishi kwa 100% magap yote hujazwa na hayo mapato ya ndani sasa Pesa wapate wapi!? Ni kukata tu Hizo Posho Huko MSD unaweza agiza HB Cuvette miezi mi3 wao wanasema OS unataka watu wasipimwe au huduma zisiendelee kisa tukulipe wewe Posho?
 
Mwaashambwa na ndugu zake hawana uwezo wa kuyaelewa haya, vinginevyo wangebubujikwa na machozi tu pamoja na kwamba hospital kubwa namna ile ili wapate madawa mpaka wadundulize kwa watumishi wa hospital.
 
Umeambiwa kwa ufafanuzi zaidi ufike Ofisi ya Mipango na fedha. Hapa ulipokuja unahisi ndo Ofisi husika?
 
We ungekua umeajiriwa kama Mwalimu nahisi saizi ungekua ushajinyonga kabisa.. Kuna kazi bila wito haziendi, ukitanguliza maslahi hautakua tofauti na israel mtoa roho..
imagine aliegundua Panadol angekua na akili kama zako? Kidonge kimoja kingekua buku!!
Fanya kazi kwa Moyo na wito!! Huwezi kuwa daktari ama nesi kwa akili yako iyo

Sema mfatilie kama kweli hizo 10% zinarudi hospital kwel kwa maana kama wew una mawazo ya hivi sipati picha walioko juu yao wana akili za namna gani?!?
 
Back
Top Bottom