Nawapendea hapo tuu single maza.Yani dada kafanana sana na baba af mi nimeenda kwa baba. Bas watu wanasema nimemzidi dada kwa uzuri.
Ila pia dada ni mrembo sana, so beautiful. Mama alikua hapendi watu wakisema hivyo. Mwanzo alikua na hofu ila sasa wasiwasi umeisha.
Idea ya kipuuziHii hata mimi inanikuta
Shule walikua wanasema kaka yangu ni mzuri na ana mwandiko mzuri kunizidi.
Watu wanasema ingetakiwa mimi niwe mwanaume, kaka yangu awe mwanamke.
Kumbe nawe ni beautifulHii hata mimi inanikuta
Shule walikua wanasema kaka yangu ni mzuri na ana mwandiko mzuri kunizidi.
Watu wanasema ingetakiwa mimi niwe mwanaume, kaka yangu awe mwanamke.
Weka pic ili tuone kama ni kweliYani dada kafanana sana na baba af mi nimeenda kwa baba. Bas watu wanasema nimemzidi dada kwa uzuri.
Ila pia dada ni mrembo sana, so beautiful. Mama alikua hapendi watu wakisema hivyo. Mwanzo alikua na hofu ila sasa wasiwasi umeisha.
Inawezekana,sasa usije ukautumia huo uzuri kwenda upande mwingine,piga gym,vaa kiume,ishi kiume utafurahia sana maisha yako,maana navyowajua mimi vijana wa bongo sasa hivi utaanza kuvaa sketi...Yani dada kafanana sana na baba af mi nimeenda kwa baba. Bas watu wanasema nimemzidi dada kwa uzuri.
Ila pia dada ni mrembo sana, so beautiful. Mama alikua hapendi watu wakisema hivyo. Mwanzo alikua na hofu ila sasa wasiwasi umeisha.
Crossbow unajitangaza.Yani dada kafanana sana na baba af mi nimeenda kwa baba. Bas watu wanasema nimemzidi dada kwa uzuri.
Ila pia dada ni mrembo sana, so beautiful. Mama alikua hapendi watu wakisema hivyo. Mwanzo alikua na hofu ila sasa wasiwasi umeisha.
Muslim huyo ,tafuta godoro peleka kwao imeisha hiyoMahari yako kiasi gani?
Bila hili swali uzi ungekua haujakamilika hata usingeuliza ningeulizaWewe ni me au ke
Nawewe ukakubali?Hii hata mimi inanikuta