Watu wanasema nimemzidi dada angu kwa uzuri

Hii hata mimi inanikuta
Shule walikua wanasema kaka yangu ni mzuri na ana mwandiko mzuri kunizidi.

Watu wanasema ingetakiwa mimi niwe mwanaume, kaka yangu awe mwanamke.
Labda mleta uzi ndie kaka yako, kaona unachelewa kuleta uzi wa kumsifia kaona ajipe maua yeye mwenyewe.

Unambania riziki braza aisee
 
Weka picha yako na ya dada yako ili tuamue hii kesi
 
Yani dada kafanana sana na baba af mi nimeenda kwa baba. Bas watu wanasema nimemzidi dada kwa uzuri.

Ila pia dada ni mrembo sana, so beautiful. Mama alikua hapendi watu wakisema hivyo. Mwanzo alikua na hofu ila sasa wasiwasi umeisha.
Kapicha.
 
Du! Kwa video gani na wapi hao?
 
Yani dada kafanana sana na baba af mi nimeenda kwa baba. Bas watu wanasema nimemzidi dada kwa uzuri.

Ila pia dada ni mrembo sana, so beautiful. Mama alikua hapendi watu wakisema hivyo. Mwanzo alikua na hofu ila sasa wasiwasi umeisha.
Mmmmh

Nani anakwambia? Watu gani hao, wakiume au wakike?
 
Mwanzo nimesoma nikajua ni wa kike kaandika kujisifia then kwenye comments nikagundua kuwa ni wa kiume nikarudi kusoma upya na naona aibu kwa niaba yako😔😔😔kabla hujapost uzi wako inabidi uuangalie kwa makini sababu JF haufuti uzi usije ukaangalia baada ya miaka miwili mitatu mbele ukaanza kufikiria nilikuwa nawaza nini
 
Unatutisha ivi ni mwanaume lijali mkuu au Kuna kitu akipo sawa(.....)??
 
Hii hata mimi inanikuta
Shule walikua wanasema kaka yangu ni mzuri na ana mwandiko mzuri kunizidi.

Watu wanasema ingetakiwa mimi niwe mwanaume, kaka yangu awe mwanamke.
Hadi sasa wanasema hivyo au wameacha?
 
20250330_195742.jpg
 
Hata mimi nilikuwaga naambiwa hivi nikiangalia nimefanana na baba huwa nachoka sana
 
Back
Top Bottom