Intavyuu yake ni humu humu jf 😁Upinde mna mbinu sana, ndo wewe wa interview?
Sura si kitu mbele ya shepu nzuriNaunga mkono hoja
Inasikitisha Sana.Yani dada kafanana sana na baba af mi nimeenda kwa baba. Bas watu wanasema nimemzidi dada kwa uzuri.
Ila pia dada ni mrembo sana, so beautiful. Mama alikua hapendi watu wakisema hivyo. Mwanzo alikua na hofu ila sasa wasiwasi umeisha.
me aliyechacha au ke in kind, ukimsoma nyuzi zake utajua kuwa somewhere kuna kitu hakipo sawa.Wewe ni me au ke
Gym khaaaaaa tuishie hapo basi aende na jogging sana asisahau na naaaaaaaInawezekana,sasa usije ukautumia huo uzuri kwenda upande mwingine,piga gym,vaa kiume,ishi kiume utafurahia sana maisha yako,maana navyowajua mimi vijana wa bongo sasa hivi utaanza kuvaa sketi...
Niliachaga kwenda kazini kwa dada yangu kisa ujinga uho uhoWewe ni mwanaume huwezi kuelewa.
Et mkorea 😂😂Vyote havipo! Nimenyooka kama mkorea.
Ndio maana inaniuma.
😂😂 dahEdit comment yako tahadhali
washamba tuHii hata mimi inanikuta
Shule walikua wanasema kaka yangu ni mzuri na ana mwandiko mzuri kunizidi.
Watu wanasema ingetakiwa mimi niwe mwanaume, kaka yangu awe mwanamke.
Mtoa mada ni mtu wa arushawashamba tu
waulize kwani kaka yako analo tundadamu?
hakuna tatizoMtoa mada ni mtu wa arusha
Pole mwaya.Vyote havipo! Nimenyooka kama mkorea.
Ndio maana inaniuma.
QueerSlayqueen lipia tangazo