ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 19,972
- 73,285
Huwa nanuna!Nawewe ukakubali?
Hakuna kitu kinauma kama kuambiwa ndugu yako wa kiume ni mzuri kukuzidi.
Huwa nanuna!Nawewe ukakubali?
Sasa inauma kwanini? Uzuri upo machoni kwa mtuHuwa nanuna!
Hakuna kitu kinauma kama kuambiwa ndugu yako wa kiume ni mzuri kukuzidi.
Wewe ni mwanaume huwezi kuelewa.Sasa inauma kwanini? Uzuri upo machoni kwa mtu
Alimhofia dada kuambiwa hivyo je alihofu wewe kujiona au kuonekana mrembo kuliko dada?Yani dada kafanana sana na baba af mi nimeenda kwa baba. Bas watu wanasema nimemzidi dada kwa uzuri.
Ila pia dada ni mrembo sana, so beautiful. Mama alikua hapendi watu wakisema hivyo. Mwanzo alikua na hofu ila sasa wasiwasi umeisha.
Nyash si ipo? Guu je? Shape?Wewe ni mwanaume huwezi kuelewa.
Vyote havipo! Nimenyooka kama mkorea.Nyash si ipo? Guu je? Shape?
Binafsi sura huwa siioni kuwa na mchango mkubwa kwenye uzuri kama hivyo nilivyouliza hapo juu.
Hebu picha tuone hiyo rula😂Vyote havipo! Nimenyooka kama mkorea.
Ndio maana inaniuma.
Pole sana.Huwa nanuna!
Hakuna kitu kinauma kama kuambiwa ndugu yako wa kiume ni mzuri kukuzidi.
ephen!,hahahahaaaa,hii niliishitukia siku nyingi baada ya kuwa naona picha za viatu tena maconverseVyote havipo! Nimenyooka kama mkorea.
Ndio maana inaniuma.
Sasa je! Nawekaje picha za warembo ambao sifanani nao😂ephen!,hahahahaaaa,hii niliishitukia siku nyingi baada ya kuwa naona picha za viatu tena maconverse
Alihofia mwanae atakua shoga, huoni nyuzi zake.Alimhofia dada kuambiwa hivyo je alihofu wewe kujiona au kuonekana mrembo kuliko dada?
Big nyashi lipo najuaSasa je! Nawekaje picha za warembo ambao sifanani nao😂
Nenda kwenye point ,,upo mkoa gan na mtu akikutaka uje mkoa aliopo utafanya kias gan?Yani dada kafanana sana na baba af mi nimeenda kwa baba. Bas watu wanasema nimemzidi dada kwa uzuri.
Ila pia dada ni mrembo sana, so beautiful. Mama alikua hapendi watu wakisema hivyo. Mwanzo alikua na hofu ila sasa wasiwasi umeisha.