Umefanana na nani katika familia yako?

Umefanana na nani katika familia yako?

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,861
Mimi nimefanana sana na mama, wengi wanaomjua mama wakiniona tu hata kama hawajajua wataniuliza , wewe ni mtoto wa fulani?

Huwa wananiambia kua mimi ni mama mtupu. Cha ajabu dada angu yeye kafanana na baba, ila ni mrembo tu ingawa wanasemaga nimeiba uzuri aliotakiwa kupewa dada angu.
Wewe umefanana na baba, mama au nani katika familia?
 
kiukwel wewe ni mama mtupu
Screenshot_20250720-193211~2.jpg
 
Back
Top Bottom