Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,844
- 6,698
Uko sokoniWakuperuzi nimeamini huu ni mchichamwiba
Uko sokoniWakuperuzi nimeamini huu ni mchichamwiba
Edit comment yako tahadhaliYuko sokoni
Basi baba yako atakuwa mrembo sanaYani dada kafanana sana na baba af mi nimeenda kwa baba. Bas watu wanasema nimemzidi dada kwa uzuri.
Ila pia dada ni mrembo sana, so beautiful. Mama alikua hapendi watu wakisema hivyo. Mwanzo alikua na hofu ila sasa wasiwasi umeisha.
Huyo ni mwanaume? Kama ndiyo, basi lazima ana-KULWAKweli wanaume tupo wachache
BaloteliiiiiiiiiiiiHii hata mimi inanikuta
Shule walikua wanasema kaka yangu ni mzuri na ana mwandiko mzuri kunizidi.
Watu wanasema ingetakiwa mimi niwe mwanaume, kaka yangu awe mwanamke.
Anapumuliwa mgongoni huyoHuyo ni mwanaume? Kama ndiyo, basi lazima ana-KULWA
Mjapani huyo matako kama anakwepa Teke.Baloteliiiiiiiiiiii
Mamigoooooooooo
Nani huyooooooo 🤣Mjapani huyo matako kama anakwepa Teke.
Unatako?Yani dada kafanana sana na baba af mi nimeenda kwa baba. Bas watu wanasema nimemzidi dada kwa uzuri.
Ila pia dada ni mrembo sana, so beautiful. Mama alikua hapendi watu wakisema hivyo. Mwanzo alikua na hofu ila sasa wasiwasi umeisha.
Unataka kuniponza Kamanda ?Nani huyooooooo 🤣
Nakuponzaa na kipi mkuuu?Unataka kuniponza Kamanda ?
KemeWewe ni me au ke
Acha tabia za kishogaYani dada kafanana sana na baba af mi nimeenda kwa baba. Bas watu wanasema nimemzidi dada kwa uzuri.
Ila pia dada ni mrembo sana, so beautiful. Mama alikua hapendi watu wakisema hivyo. Mwanzo alikua na hofu ila sasa wasiwasi umeisha.
Naunga mkono hojaNyash si ipo? Guu je? Shape?
Binafsi sura huwa siioni kuwa na mchango mkubwa kwenye uzuri kama hivyo nilivyouliza hapo juu.