machomanne
JF-Expert Member
- Feb 22, 2017
- 822
- 917
Tusaidiane kidogo.
Principals za physics zilikuwepo tangu zamani ila hazikuwekwa wazi, kwa sababu zililetwa na fallen angels akina Azazel na wenzie waliofukuzwa Mbinguni, kwa mujib wa kitabu cha Enoch.
Elimu ya kutumia pullies na elevators ilikuwepo katika nchi ya Egypt tangu zamani ndio sababu Mfalme Suleman alioa binti Farao ili asaidiwe kujenga Hekalu ambalo liliwekewa elevation system kwa ajli ya kulihamisha sanduku la Agano mara mji wa Jerusalem utakapovamiwa, jambo ambalo Mfalme Josia akitahadharishwa na MUNGU.
Hivyo, baada ya uvamizi ylipofanyika, hekalu la Mfalme Suleman lilipovamiwa, Sanduku la agano lilikuwa limesha ondolewa kwa njia ya elevation system iliyokuwa chini ya hekalu na kupelekwa nje ya mji chini kwa chini hadi Golgotha.
Sasa, turudi kwenye upandishaji wa mawe yaliyokuwa na zaidi ya tani tano.
Elimu ya phisics ilikuwepo tangu zamani ila haikuwekwa wazi kwa sababu ilitoka kwa Fallen angels waweza kuwaita aliens.
Hebu angalia jinsi chombo cha UFO, kinavyoweza kusafiri, kwa kasi , na kusimama angani bila kuanguka, na kisha kubadili mwelekeo kwa mwendo kasi .
Kumbuka kuwa UFO, kina umbo la mduara, kama kitumbua . hivyo kimetengenezwa kwa njia ya kikinzana Gravity force.
Watu wa kale kama vile Aczts wa Mexico , na Druids wa England na hata waEgypt walitumia calculations za kuondoa Gravity Force kwenye eneo wanalofanyia kazi. Hivyo kuwawezesha kupandisha mawe mazito na makubwa kwa urahisi. Calculations za kuondoa Gravity Force, zinkaribiana na calculations zilizotumika kutambua kupatwa kwa jua, (Sun eclipse). Lakini ifahamike kuwa mahesabu hata yalifanywa na watu walioitwa Monks.ambao walikuwa ni watu wa kiroho zaidi waliotumia Concentration powers kufanikisha mahesabu hayo.
Vile vile ifahamike kuwa uwezo wa kuondoa Gravity Force, umeweza kutumiwa na wajapani karne nyingi zilizopita kwa njia ya Concentration, na kufanya Mtu moja kuinua pande kubwa la jiwe kubwa zaidi ya tani tano.
Removal of Gravity Force enables any person to shift a huge piece of rock.
Matumizi ya Giants vile vile yalitumika kwa sababu Giants walikuwepo hata kwenye maandiko wanaelezeka kama wanefeli.
Nafikiri nimesaidia kwa kiasi fulani.
Sent using Jamii Forums mobile app