Watu wa zamani walipandishaje yale mawe ya tani 4 ghorofani pasipo crane?

Tusaidiane kidogo.
Principals za physics zilikuwepo tangu zamani ila hazikuwekwa wazi, kwa sababu zililetwa na fallen angels akina Azazel na wenzie waliofukuzwa Mbinguni, kwa mujib wa kitabu cha Enoch.
Elimu ya kutumia pullies na elevators ilikuwepo katika nchi ya Egypt tangu zamani ndio sababu Mfalme Suleman alioa binti Farao ili asaidiwe kujenga Hekalu ambalo liliwekewa elevation system kwa ajli ya kulihamisha sanduku la Agano mara mji wa Jerusalem utakapovamiwa, jambo ambalo Mfalme Josia akitahadharishwa na MUNGU.
Hivyo, baada ya uvamizi ylipofanyika, hekalu la Mfalme Suleman lilipovamiwa, Sanduku la agano lilikuwa limesha ondolewa kwa njia ya elevation system iliyokuwa chini ya hekalu na kupelekwa nje ya mji chini kwa chini hadi Golgotha.
Sasa, turudi kwenye upandishaji wa mawe yaliyokuwa na zaidi ya tani tano.
Elimu ya phisics ilikuwepo tangu zamani ila haikuwekwa wazi kwa sababu ilitoka kwa Fallen angels waweza kuwaita aliens.
Hebu angalia jinsi chombo cha UFO, kinavyoweza kusafiri, kwa kasi , na kusimama angani bila kuanguka, na kisha kubadili mwelekeo kwa mwendo kasi .
Kumbuka kuwa UFO, kina umbo la mduara, kama kitumbua . hivyo kimetengenezwa kwa njia ya kikinzana Gravity force.
Watu wa kale kama vile Aczts wa Mexico , na Druids wa England na hata waEgypt walitumia calculations za kuondoa Gravity Force kwenye eneo wanalofanyia kazi. Hivyo kuwawezesha kupandisha mawe mazito na makubwa kwa urahisi. Calculations za kuondoa Gravity Force, zinkaribiana na calculations zilizotumika kutambua kupatwa kwa jua, (Sun eclipse). Lakini ifahamike kuwa mahesabu hata yalifanywa na watu walioitwa Monks.ambao walikuwa ni watu wa kiroho zaidi waliotumia Concentration powers kufanikisha mahesabu hayo.
Vile vile ifahamike kuwa uwezo wa kuondoa Gravity Force, umeweza kutumiwa na wajapani karne nyingi zilizopita kwa njia ya Concentration, na kufanya Mtu moja kuinua pande kubwa la jiwe kubwa zaidi ya tani tano.
Removal of Gravity Force enables any person to shift a huge piece of rock.
Matumizi ya Giants vile vile yalitumika kwa sababu Giants walikuwepo hata kwenye maandiko wanaelezeka kama wanefeli.
Nafikiri nimesaidia kwa kiasi fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante kwa maelezo lakini yameibua maswali ; hiyo concentration ya kuondoa gravity ilikuaje ikoje? maana ninavyofaham gravity IPO nature na huwezi kuiondoa bila force! hata hivyo gravity hata ikiondolewa bado nguvu ya kupandisha itahitajika kitachosaidia ni kwamba ukishapandisha kitu kizito hakita rudi chini bali kitaganda pale coz hakuna gravitational force! yaan itakuwa kama tufanyavyo kumove kitu kizito horizontally ! ukisukuma kitu chini kinasogea na hakirudi kilipotoka kwasababu gravity haipo horizontal!
Kwahiyo basi, kama kusukuma jiwe horizontally huwa ni shida, bado kunyanyua hayo mawe ya tan 4 yalihitani nguvu kubwa hata kama gravity isipokuwepo!
 
asante kwa maelezo lakini yameibua maswali ; hiyo concentration ya kuondoa gravity ilikuaje ikoje? maana nvyofaham gravity IPO nature na huwezi kuiondoa bila force! hata hivyo force hata ikiondolewa bado nguvu ya kupandisha itahitajika kitachosaidia ni kwamba ukishapandisha kitu kizito hatika rudi chini kitaganda pale coz hakuna gravitational force! yaan itakuwa kama tufanyavyo kumove kitu kizito horizontally ! ukisukuma kitu chini kinasogea na hakirudi kilipotoka kwasababu gravity haipo horizontal!
Kwahiyo basi, kama kusukuma jiwe horizontally huwa ni shida, bado kunyanyua hayo mawe ya tan 4 yalihitani nguvu kubwa hata kama gravity isipokuwepo!
Waliweza kuondoa Force of Gravity katika eneo walilokuwa wakifanyia kazi, na kisha baada ya kumaliza waliicancell force of a gravity na kurudi hali ya zamani. Ni Sawa na kuwasha generator wakati unafanya kazi usiku, kisha baada ya kumaliza kazi, unazima generator na Giza linaendelea.
( Ni kama unapofanya kazi eneo lisilo na mwanga utawasha generator, baada ya hapo, utaizima na kuiondoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna haja ya kwenda mbali jiulize tu Reli ya kati wakati inajengwa enzi za mjerumani kama kulikuwa na crane au Yale mataluma yalibebwa na waafrika enzi hizo ,sasa hivi kijana jabali kabisa katoka mkoani anatembeza soksi na boksa .Kiufupi binadamu nguvu na akili anayo basi tu.Hakuna kitu kinanikera kama kuona kijana mwenye nguvu zake eti anatembeza karanga

Sent using Jamii Forums mobile app
Mataruma yanabebeka kirahisi hata mimi zamani tulikuwa tinayabeba kwenye kazi za Vibarua Railway... Kimbembe kuibeba reli jombaa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliweza kuondoa Force of Gravity katika eneo walilokuwa wakifanyia kazi, na kisha baada ya kumaliza waliicancell force of a gravity na kurudi hali ya zamani. Ni Sawa na kuwasha generator wakati unafanya kazi usiku, kisha baada ya kumaliza kazi, unazima generator na Giza linaendelea.
( Ni kama unapofanya kazi eneo lisilo na mwanga utawasha generator, baada ya hapo, utaizima na kuiondoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, inaelekea Uko Vizuri upande wa fizikia na kanuni zake! Hebu tupe darasa kuhusu sound and wave energy...sana Sana gusia sound energy.

Poa nimeona umeongelea concentrations, imani, monks....hivi ni kwanini monk wakiwa wana chant lazima kuwe na sound flani hivi...upepo sio upepo...muungurumo sio muungurumo..

Poa elezea kama kuna uhusiano wowote kati ya gravitational force na sound energy...

Ni kwanini sehemu kwenye kazi ngumu watu wanaimba Sana na kucheza? Hata ngoma nyingine za asili zikipigwa Sana zinaita mizimu, ukichaa...kupigana hadi kupasuana n.k..lakini ndio burudani na wanakuwa wanacheza kwa bidii Au wanafanya kazi kwa bidii kwa hype ya zile kelele wanazopiga.

Kuna Siri gani kwenye sound energy?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
waizraeli walifanya hiyo kazi walipokuwa utumwani misri hawatakaa wasahau enzi za farao.Waizraeli akili kubwa sana wamejaliwa na Mungu kitu cha ziada
Si kweli, pyramid sio kitu ambacho kilijengwa mara moja, ule ni muendelezo.

Yale ni makaburi ya kifalme, sehemu ambazo ma pharaoh wa misri ya kale walikuwa wakihifadhiwa pale wanapofariki. Hivyo maelfu kwa maelfu ya miaka yapo kabla hata wa izrael wajafanywa watumwa na yaliendelea hata wa izrael walipoondoka.
 
Wana wa Israel waliteseka sana kubeba hizo tofari kuna wakati Farao aliwanyima hata vibambara vya kuweka mikononi ili waumie, Sio 5imba ndo wanapata tabu hata waisraeli pia.
 
Huna haja ya kwenda mbali jiulize tu Reli ya kati wakati inajengwa enzi za mjerumani kama kulikuwa na crane au Yale mataluma yalibebwa na waafrika enzi hizo ,sasa hivi kijana jabali kabisa katoka mkoani anatembeza soksi na boksa .Kiufupi binadamu nguvu na akili anayo basi tu.Hakuna kitu kinanikera kama kuona kijana mwenye nguvu zake eti anatembeza karanga

Sent using Jamii Forums mobile app
umefikia kiwango cha mwisho cha kujiamini ahsante
 
Hayo mawe yalipandishwa kwa mijeledi.

Sent using Jamii Forums mobile app
.... umemaliza kila kitu! Kwa mijeledi na upanga tena watumwa hakuna kilichoshindikana. Watumwa wale ambao inasadikika walikuwa wana-Isarel walipata tabu sana; watu waliumia sana Misri kwa fahari za Farao. Leo hii tunashangilia kama "urithi wa dunia" ila tani kwa tani za damu zilimwagika pale. Hadi Mungu mwenyewe kuamua kuwakomboa watu wale sio mchezo; kuamua kukausha bahari ili wapite salama huku bahari hiyo hiyo "ikwala" watesi wao jamaa walitaabika sana tuache masikhara!

Farao alivyokuwa amewashikilia watumwa wale pamoja na mapigo yote aliyopelekewa lakini bado akashupaza shingo aliona kitu cha ziada kwao kwa manufa ya utawala wake dhalimu! Hakuna cha ALIENS sijui UFO, sijui nini kama wengine walivyojaribu kueleza; kwa MIJELEDI na UPANGA yote yaliwezekana!
 
Halafu hii tabia ya kuchambua na kuingilia mambo ya watu mmeanza lini, wenyewe tulivyokuwa tunajenga hizo pyramid na ishu zingine nzito, ilikuwa ni siri, sasa nashangaa leo mtu analeta hapa JF ianze kujadiliwa, ngoja nikamwambie mzee Mbulula, halafu mtakapata mnachokitafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.... umemaliza kila kitu! Kwa mijeledi na upanga tena watumwa hakuna kilichoshindikana. Watumwa wale ambao inasadikika walikuwa wana-Isarel walipata tabu sana; watu waliumia sana Misri kwa fahari za Farao. Leo hii tunashangilia kama "urithi wa dunia" ila tani kwa tani za damu zilimwagika pale. Hadi Mungu mwenyewe kuamua kuwakomboa watu wale sio mchezo; kuamua kukausha bahari ili wapite salama huku bahari hiyo hiyo "ikwala" watesi wao jamaa walitaabika sana tuache masikhara!

Farao alivyokuwa amewashikilia watumwa wale pamoja na mapigo yote aliyopelekewa lakini bado akashupaza shingo aliona kitu cha ziada kwao kwa manufa ya utawala wake dhalimu! Hakuna cha ALIENS sijui UFO, sijui nini kama wengine walivyojaribu kueleza; kwa MIJELEDI na UPANGA yote yaliwezekana!
Halafu sijui kwa mini watu hawafikirii jinsi mabwawa ya damu yalivyochuruzika kwenye ujenzi wa hizo pyramids
 
Huko misri kuna pyramid kubwa ambazo juu zina mawe makubwa kukadiliwa uzito wa tan 4 na zilijengwa enzi za zamani kabla ya kuja mitambo ya kunyanyua vitu vizito (crane).

Hata pale Zanzibar ukipita baadhi ya mitaa utaona magofu ambayo juu kuna majabali ya mawe mazito na inasemekana ni watu wa kale waliyapandisha.

Je; watu Wa zamani waliwezaje kupandisha blocks/mawe mazito urefu wote huo bila kutumia crane? au walitumia ndumba?
View attachment 1019253
waliyapandisha kwa mateso sana, unajua misri ilikuwa nchi yenye watumwa wengi, makumi ya maelfu ya watumwa walitumika kufanya kazi za sulubu na wengi walikufa kazini, hivyo we jua tu yalipandishwa na watu wengi wengi wenye nguvu za winchi (nadhani ndo kisw cha crane japo sina uhakika).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi binadamu wa zamani walikua na miili mikubwa na nguvu nyingi tofauti na sasa, ila sisi tuna nafuu natabiri baada ya miska 500 ijayo watu watakua wanabeba tofali la kuchoma kwa kushikishana watu wawili

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo wa mchana kweupe!
Mbona maiti za mafirauni zilizohifadhiwa mle zina kimo cha binadamu wa leo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni watu walibeba kwa mikono yao na kwa msaada ya pulleys system. Mtu ukiwa under pressure unaweza fanya vitu vikubwa. Leo hii tunadhani haiwezekani kwa sababu haijatulazimu kufanya hivyo, yaani hatujui uwezo wa nguvu zetu.

Mfano: nikiwa primary school niliwahi kupewa adhabu ya kupiga pushups 20, wakati huo sikuwahi kupiga hata 5. Ila kwa kushikiwa fimbo nilipiga 30 mpaka nikajishangaa.

Mysterious works za namna hiyo zilifanywa na watumwa/mateka. Ambao wanajua kabisa wakishindwa kufanya jambo fulani wanauliwa, hapo lazima ujiongeze, mwili unatoa adrenaline na glycogen za kutosha, mtu anatumia uwezo wake wote alionao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom