waterproof
JF-Expert Member
- Aug 14, 2020
- 387
- 348
Habari wana JF ni muda mtefu sijashiriki nanyi Ila nimerudi na suala linalo sumbua dunia kuhusu pyramids zilizoko Egypt zilijengwa na nani? Mwaka gani? Na kwasababu gani?
BAADHI YA WATU WASEMAVYO:
1. Pyramids zilijengwa na viumbe kutoka anga za juu, ambao waliwahi kuja duniani miaka 5,000 iliyopita na kuishi Mashariki ya Kati.
Mapiramidi hayo yalitumika kama mnara wa kuongozea ndege zao kuona wapi Mashariki ya Kati ilipo, wakati zikishuka kutoka anga za juu.
Viumbe hao maarufu kwa jina la Annunaki walikuja duniani na kugundua kuna madini mengi ya dhahabu na kuanza kuchimba kisha kusafi kwenda kwenye sayari yao iitwayo Nibiru.
Maana ya 'Annunaki' ni walioshuka kutoka juu, na 'Nibiru' ni sayari ipitayo yaani Crossing Planet.
Mapango yote yaliyopo duniani, ikiwemo yale ya Amboni mkoani Tanga waliyachimba wao hao Annunaki.
Baada ya viumbe hao Annunaki kuondoka kurejea kwao Nibiru, ndipo Wafalme wa Misri waliamu kuyatumia kama makaburi ya wao kuhifadhiwa humo.
Ujenzi wa pyramids ulifanyika kwa ufundi na ustadi mkubwa, kiasi kwamba mpaka sasa hakuna mtambo wa kuweza kupandisha au kunyanyua mawe yaliyotumika kujenga.
Mfano, jiwe moja lina uzito wa tani 2,500 sawa na kilo 2,500,000.
Yalijengwa kwa kuoanishwa au kuwa sanjari na yota za orion ambazo zimejipanga huko anga za juu.
2. Ujenzi wa Pyramids ulifanyika kwa ustadi wa kulinganishwa na nyota za Orions, kama hivi.
3. Michoro ya Pyramids sanjari na nyota za Orions. Je, mfalme au mhandisi gani wa dunia angeweza kujenga Pyramids kwa ueledi uliotumika enzi hizo?
4. wengine wanasema hayo ni makaburi ya watawala wa zamani wa Misri yaan mafarao so kwa sasa yamebaki Kama kumbukumbu Na ni moja Kati ya vivutio vvikubwa huko Egypt hasa katika masuala ya dini.
Je,, UKWELI ni UPI juu ya hizi pyramids na ujenzi wake na Kazi yake ...?
Naomba kuwasilisha wakuu