Watu wa zamani walipandishaje yale mawe ya tani 4 ghorofani pasipo crane?

Acha uongo, kuna hii pia ukiweza kujibu basi pulleys zako zipo sahihi..
Kule Beirut, Lebanon
Kuna jengo maarufu kama "Baalbek" limewekwa jiwe juu lenye Tani 1600 na hilo lilivutwa na pulleys? Au...
Wengi mmekaririshwa na hizo degree za engineering na physics mnajiona mnajua, ujinga tu
Nyingine kule Peru, Machupichu wonders hebu fuatilia au zile Stone Henge kule Scotland.
Kwa taarifa yako hata zile pyramid za Giza kule Egypt zipo katikati kabisa ya dunia, je walijuaje na hapakuwa na satelite .
Tafakarini, acheni kujifanya mnajua
yes wewe jamaa una akili Kama zangu hebu ongeza hii ilikuaje pyramids zote kuanzia Aztec, Egypt na huko far east zikae parallel yaana zimekaa Kwa kujipangilia kufuatana na nyota za Orion?
Ile sio Kazi ya kibinadamu kabisa wale ni Alien Aisee,
Nani aliyechora Nazca lines kule Peru ambazo zinaonekana kutoka angani zimejipangilia?
Maana Ile michoro kuiona lazima uwe angani Sasa Kama walichora binadamu walionaje na hawakua na kifaa chochote Cha kuruka angani?
Jibu ni Moja ANUNNAK!
 
Huna haja ya kwenda mbali jiulize tu Reli ya kati wakati inajengwa enzi za mjerumani kama kulikuwa na crane au Yale mataluma yalibebwa na waafrika enzi hizo ,sasa hivi kijana jabali kabisa katoka mkoani anatembeza soksi na boksa .Kiufupi binadamu nguvu na akili anayo basi tu.Hakuna kitu kinanikera kama kuona kijana mwenye nguvu zake eti anatembeza karanga

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio kila kazi inahitaji nguvu, zingine akili tu.
 
Kha!kha!,Sayari hiyo inaitwaje?.
Sayari inaitwa Kepler -186F

170207-aliens-rhk-1646p.jpg
 
Huna haja ya kwenda mbali jiulize tu Reli ya kati wakati inajengwa enzi za mjerumani kama kulikuwa na crane au Yale mataluma yalibebwa na waafrika enzi hizo ,sasa hivi kijana jabali kabisa katoka mkoani anatembeza soksi na boksa .Kiufupi binadamu nguvu na akili anayo basi tu.Hakuna kitu kinanikera kama kuona kijana mwenye nguvu zake eti anatembeza karanga

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo unataka akatembeze mataaluma ya reli
 
Huna haja ya kwenda mbali jiulize tu Reli ya kati wakati inajengwa enzi za mjerumani kama kulikuwa na crane au Yale mataluma yalibebwa na waafrika enzi hizo ,sasa hivi kijana jabali kabisa katoka mkoani anatembeza soksi na boksa .Kiufupi binadamu nguvu na akili anayo basi tu.Hakuna kitu kinanikera kama kuona kijana mwenye nguvu zake eti anatembeza karanga

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe ni kijana usiyekuwa na akili zako.
 
dmkali, Director Cosmopolitan, Losser Bad
... it is very simple; kwani likijengwa jukwaa kubwa sana kuzunguka eneo lote na refu kuliko pyramid lenyewe halafu wakapanda na kujipanga safu safu za wanaume say 1,000 juu kule kisha jabali likafungwa kamba za kutosha watashindwa kunyanyua hizo kg. 4,000 (tani 4) mfano wa crane za leo? Hapo si wastani wa kg. 4 kwa kila mtu? Hata watu 100 tu wanatosha; just 40kg per person!

Vitu vingine wala sio miujiza ni akili kidogo tu as long as you can mobilize the resources! Kumbuka hao walikuwa watumwa na pyramid ni kwa ajili ya kuzika wafalme so, kama ni watu haikuwa issue maana watumwa walikuwepo na hata kufa au kupona kwao wakati wa kazi haikuwa issue - muhimu "punda afe lakini mzigo ufike". Kama ni resources, nimeshakuambia hazikuwa nyumba za maskini bali makaburi ya wafalme; so, resources kama chakula, malighafi, vitendea kazi, n.k. halikuwa tatizo.
Wenawe unachekesha! Hivi unalijua (uliliona) pyramid wewe?

Haya hebu nambie kozi za juu kabisa (kuanzia ishirina kitu mpaka 33) hao watu 1000 wanajipangaje/ wanalinyanyuaje mpaka jiwe lifike huko kutoka kwenye ground?

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom