Watu wa Dar es Salaam muache hii tabia, mnakera

Watu wa Dar es Salaam muache hii tabia, mnakera

ukiona hivyo ujue wewe hukuwa wa muhimu,ulikuwa unavuruga tu ratiba za mishe

Mkuu watu wengi wa Dar kwanza ni "waswahili", ukisikia tu anatumia neno "mambo mengi" ujue ni kuwa hakuheshimu au mvivu, au anakupuuza.

Mara nyingi watu wa Dar hawana ratiba, wanavutwa tu na upepo. Kama ni wabara wamehamia Dar ni tofauti kidogo.
 
mkuu ukiona hivyo ujue hukuwa wa muhimu katika list yake.
 
Kusema kweli mimi Dar nilienda kwaajili ya shule....sasa nilienda kwanza then nikarudi kujiandaa huku nikiwa nimechukua namba ya mwenyeji mmoja anipokee maana niliogopa kupotea badala ya kupanda gari za mwenge nikapanda za buguruni....sasa siku naenda nikampigia yule mwenyeji ajiandae kunipokea akaniambia haina shida....mida ya saa tisa akazima simu....hadi nashuka ubungo mtu hapatikani...Sijui alijua nataka kufikia kwake??? nashukuru Mungu nilifika salama nilikokuwa naenda na yeye sikumuuliza kitu
watu wa dar wengi wanaishi mabondeni wanaogopa mvua ikinyesha usiku mgeni watampandishaje juu ya bati,...wengi wanajisifia as if wana maisha mazuri,sasa siku siku yenyewe ya kuwa huko ikifika wanaogopa kuumbuka
 
Hahah ni watu wachache sana wenye umri kama wako afu wenye tabia za kishenzi shenzi kama hizo.Watu wazima hua sio waswahili hata kidogo hizo ni tabia za vijana vijana ambazo wewe ni Mmoja wao

Hayo ni maono yako. Wewe ni miongoni mwa waliozaliwa Aghakhan au Marie Stoppes. Kama umejitahidi sana labda umezaliwa Ocean Road au Muhimbili. Sijui kama unaijua Sewa Haji Hospital. Sanasana unajua, kama unajua, kuwa Sewa haji ni wodi mojawapo pale Muhimbili kwa sasa.

Endelea kukua kijana. Maana huwezi jua labda mama yako alikuwa girlfriend wangu, kama alikuwa kashafika mjini.
 
Mkuu watu wengi wa Dar kwanza ni "waswahili", ukisikia tu anatumia neno "mambo mengi" ujue ni kuwa hakuheshimu au mvivu, au anakupuuza.

Mara nyingi watu wa Dar hawana ratiba, wanavutwa tu na upepo. Kama ni wabara wamehamia Dar ni tofauti kidogo.

Mkuu ulitegemea mtu wa Dar awe msukuma? Uswahili ndio zao.
 
sasa ww kilaza kama umeenda kupiga mzinga au story za blaa blaa ukute uko mbagala na mm nipo tegeta nitakujaje jioni mida ya mafoleni nitumie masaa manne? njoo na dili la ela uone kama hujanikuta pale stesheni nakusubiri ukitoka kigoma
 
Ukweli mchungu huo, ukweli kuwa watu wa Dar maisha yao hayana uhakika ni ya kuungaunga tu ndio maana wanaogopa mno wageni ambao wao wanaamini watakuja kuwatia shoti

Kabisaaa... ndugu zetu wa dar maisha hakunaaa wanaunga ungaa cheni tuu.
Mungu amjalie kila mtu apate uwezo kiakili na kifedha maana akiwa hivyo utaskia tu kwenye story nilikuwa dar nk maana pesa yangu itaongea na kunilaza popote na kwako sifikii wala sitak kupajua
 
Hawa mandorobo wanatuchosha sana. Si unaona wanavyolialia. Dawa yao ni kuwazimia simu tu.

Mjini tunatafuta hela si kuwakirimu wakulima

Wee mwenyewe mbona mshamba tuuu ishu ni kupshana viwango ambapo naye akikaa atakuzidi. Hivi wewe dar si ulikuja kuptia mgongo wa mtu? Jua lenyewe kaalii unadhani tunapapenda sasa si basi tu kutembea siku 2/3 turudi makwetuu..
Kingine mnajisifu saaana na hivyo vinguo vya ilalaaa mkija navyo vjjn,vipafmu nk mnajibust... na kutualikaa saaanaaa sasa tukija mnakimbia nini ndorooooobo nyie?
 
kwa asie waikuishi dar ni halali aseme Ivo.hapa ukipoteza muda imekulakwako maana dili ni nyingi mno so inabidi ukimbizanenazo.halafu et unanambia tukutane niache michongo wee VP. kitu ambacho hukujua kuhusu DAR ni kwamba 90% ya watu wnaofanya kazi(ajriwa) wanaishi kwa miujiza.

mshahara 500,000/ kwa mwez.
matumizi zaidi ya mil/ mwez.
Umeongea point mkuu, wengi wamechanganyikiwa, wengine baada ya hali kuwa hivyo wanashinda Na kulala makanisani eti maisha yao wameyakabidhi kwa yesu
 
Halafu watu wa dar kupenda bar za barabarani halafu bia moj,a masaa tatu na vimishikaki vyenu vya jero njoni arusha mwendo wa pa.de
 
Sasa utakutana na mtu mpige story tu...huku nikutafuta hela matumizi mwisho wa mwaka,mtu anakuja katikat ya week kafika ubungo ndo anakutafuta...afu mnatakiwa muelewa maisha magumu haya,ww unakuja bila taarifa rasm unategemea nn??mnapenda mambo ya mteremko sana wakat unakuta hata hujachangia katika mafanikio yake...mtu kama uliokota nae kuni hawezi kukufanyia hivyo...ukiona unafanyiwa hivyo ujue ulikuwa huna msaada kwake
 
Kwanza inatakiwa Dar muwe mnakuja kwa passport, sio mnakujakuja tu! Mnatusumbua, tupo busy.
 
Watu wa Dar bwana,

Kabla hujaenda ukimpigia simu anakwambia karibu sana kaka ukija usiache kunitafuta. Ukifika ukampigia kwanza anakuuliza umefikia wapi, unamwambia nipo Kawe, utasikia nipo Kibaha kuna issue nashughulikia ntakuchek kesho.

Kesho ndo hutaiona simu yake ng'oo. Ukimpigia simu kumwambia kesho naondoka, utaskia mbona fasta kaka, daah sema umekuja bahati mbaya sana hivi nipo taiti kiaina ila ukija tena tutamit tu.

Woote sound zao hizo hizo, utadhani mwalimu wao mmoja.

Halafu wao wakija huku wanapopaita mikoani, Anataka uwe nyuma yake 24/7, utadhani mnatafuta wadhamini. Stori zake sasa. Hivi huku mikoani mnaishije? hakuna mzunguko wa hela kabisa.

Hiyo mizunguko ya hela huko Dar ingekuepo si wote mngekuwa Bakhressa. Tusiharibiane swaumu aisee, acheni hizi tabia.

Kweli aisee watu wa Dar mnazinguana sana.

Tatizo ccm
 
Mkuu watu wengi wa Dar kwanza ni "waswahili", ukisikia tu anatumia neno "mambo mengi" ujue ni kuwa hakuheshimu au mvivu, au anakupuuza.

Mara nyingi watu wa Dar hawana ratiba, wanavutwa tu na upepo. Kama ni wabara wamehamia Dar ni tofauti kidogo.

watu wa dar wengi wanaishi mabondeni wanaogopa mvua ikinyesha usiku mgeni watampandishaje juu ya bati,...wengi wanajisifia as if wana maisha mazuri,sasa siku siku yenyewe ya kuwa huko ikifika wanaogopa kuumbuka

Kabisaaa... ndugu zetu wa dar maisha hakunaaa wanaunga ungaa cheni tuu.
Mungu amjalie kila mtu apate uwezo kiakili na kifedha maana akiwa hivyo utaskia tu kwenye story nilikuwa dar nk maana pesa yangu itaongea na kunilaza popote na kwako sifikii wala sitak kupajua

Wee mwenyewe mbona mshamba tuuu ishu ni kupshana viwango ambapo naye akikaa atakuzidi. Hivi wewe dar si ulikuja kuptia mgongo wa mtu? Jua lenyewe kaalii unadhani tunapapenda sasa si basi tu kutembea siku 2/3 turudi makwetuu..
Kingine mnajisifu saaana na hivyo vinguo vya ilalaaa mkija navyo vjjn,vipafmu nk mnajibust... na kutualikaa saaanaaa sasa tukija mnakimbia nini ndorooooobo nyie?

Halafu watu wa dar kupenda bar za barabarani halafu bia moj,a masaa tatu na vimishikaki vyenu vya jero njoni arusha mwendo wa pa.de

wazeee wa miguu ya kuku hawana kitu! misifa tu

sasa inakuwaje watu wanaoishi mabondeni wanawaumiza kichwa?? kutwa kuwajadili na kuwatungia thread?!
nyie washamba wa mikoani mna shida sana.

kama mtu ni rafiki yako kweli hawezi kukukimbia maanake unamjua vizuri sasa atakumkimbia ili iweje? ukiona mtu anakukwepa huna uimuhimu kwake endelea na issue zako.
 
Tumekusikia. Tatizo na nyie mkija mnasumbua sana kuulizauliza, mnashangaa shangaa sana ,,kama watalii,bwana
 
MONEY LAUNDERING BADO BONGO SIO KITU CHA MUHIMU.
Nakumbuka kuna mwaka mmoja muheshimiwa Mbowe kipindi hicho akiwa mbunge wa Hai,alisema hatari ya money laundering,kwa kweli kile kitu kiliniingia sana na bahati mbaya waandishi wetu wa habari hawakona umuhimu hilo jamabo.Sijui ni kutoelewa au basi wameona aliyeongea hana maana.
Walichoshindwa elewa ni kwamba Mh Freeman mbowe katembea na ni mfanya biashara wa kimataifa, kaona mataifa mengine, kaona wafanya biashara wanavyohamisha fedha kwa njia haramu kiasi cha kuicha serikali ikikosa fedha za kigeni.
Sasa hapa kuna njia nyingi za kucheza na hii money laundering.Hapa wachumi wetu ndio inabidi waonyeshe thamani ya elimu yao.
Leo nimewawekea hii link kuwafikisha ilipo article ambayo pia inaelezea mambo mengi kuhusu nchi zetu za SADC na uporaji unaoendelea,kupitisha madawa ya kulevya ,kutoroshwa madini na utdahifu wa mifumo yetu ya usalama wa mipaka,mamlaka ya kodi,na vyombo vya sheria.

http://www.iss.org.za/pubs/Monographs/No90/Chap3.pdf

Nategemea watakuwepo watu watakaoangalia hay yote kwa makini na kufanya mabdiliko kwa ukombozi wa nchi.

Soo sad..watu wamekosa ubinadamu i can imagine ulivyo pata tabu! Pole sana Khantwe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom