Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,530
Upi unakuhusu?
Kama vile mende anavyokufaga au mbuzi anavyogomaga.....:A S wink::A S wink:
Upi unakuhusu?
Safi uzikwe huko huko mashambani mwenu na washamba wenzako. Mjini tunatafuta hela sio kuzika watu.
Msitusumbue.
Unavojidai kama vile dar ukoo wenu ulizaliwa hapo, kumbe dar ni ni ya wazaramo na ukute umehamia dar ukiwa form 3 ukitokea sikonge lkn unavoongea kama vile hukushukia stand ya ubungo, hahaj
Kama vile mende anavyokufaga au mbuzi anavyogomaga.....:A S wink::A S wink:
Kwani mbuzi akianza kugoma anafanyaje kwanza? Si anapiga magoti au.....
Unaona sasa? Aliyekudanganya Dar ni ya wazaramo peke yao ni nani? Hata makabila ya watu wa Dar huyajui. Pole.
Hivi unajua stand ya Ubungo mnayoshukia mnaotoka shamba imeanza kutumika lini??
Karibu mjini.
Kusema kweli mimi Dar nilienda kwaajili ya shule....sasa nilienda kwanza then nikarudi kujiandaa huku nikiwa nimechukua namba ya mwenyeji mmoja anipokee maana niliogopa kupotea badala ya kupanda gari za mwenge nikapanda za buguruni....sasa siku naenda nikampigia yule mwenyeji ajiandae kunipokea akaniambia haina shida....mida ya saa tisa akazima simu....hadi nashuka ubungo mtu hapatikani...Sijui alijua nataka kufikia kwake??? nashukuru Mungu nilifika salama nilikokuwa naenda na yeye sikumuuliza kitu
Watu wa Dar bwana,
Kabla hujaenda ukimpigia simu anakwambia karibu sana kaka ukija usiache kunitafuta. Ukifika ukampigia kwanza anakuuliza umefikia wapi, unamwambia nipo Kawe, utasikia nipo Kibaha kuna issue nashughulikia ntakuchek kesho.
Kesho ndo hutaiona simu yake ng'oo. Ukimpigia simu kumwambia kesho naondoka, utaskia mbona fasta kaka, daah sema umekuja bahati mbaya sana hivi nipo taiti kiaina ila ukija tena tutamit tu.
Woote sound zao hizo hizo, utadhani mwalimu wao mmoja.
Halafu wao wakija huku wanapopaita mikoani, Anataka uwe nyuma yake 24/7, utadhani mnatafuta wadhamini. Stori zake sasa. Hivi huku mikoani mnaishije? hakuna mzunguko wa hela kabisa.
Hiyo mizunguko ya hela huko Dar ingekuepo si wote mngekuwa Bakhressa. Tusiharibiane swaumu aisee, acheni hizi tabia.
Kweli aisee watu wa Dar mnazinguana sana.
Hahah kumbe dar ni ya wachaga na wangazija eeh? Hilo swali la stand ya ubungo imeanza lini nimuulize ww uliyekuja dar ukiwa form 3!watu tumezaliwa Dar lkn tumekuta wazazi wetu ni wakarimu kwa wageni wowote wale na tumeendelea na sisi watoto wao kupokea wageni kama kawa!Ushenzi wenu wa kushindwa kuonesha mnapoish sio inshu, hahah
Ungenawa uso kwanza uondoe tongotongo ndo uingie mjini. Mjini shule.
Mi naishi Bunju unanipigia simu tuonane nikupeleke Mbagala.... Utasubiri sana. Someni daladala zimeandikwa ruti kwa mbele.
Hahahahaha lakini mkuu si umemuahidi kuwa aje tu akifika ubungo stand akupigie ... Hahaha
Ukweli mchungu huo, ukweli kuwa watu wa Dar maisha yao hayana uhakika ni ya kuungaunga tu ndio maana wanaogopa mno wageni ambao wao wanaamini watakuja kuwatia shoti
Tatizo ni sifa zimezidi uwezo, Wakija mikoani kujishaua kwiiingi kumbe wanaishi kwa kuunga Unga (Mission town) Mi ni Nyumbani huko ila wala sitamani kurudi.
Tuna shida gani jamani unatuonea tena sie walugaluga ilitakiwa ndio handle with care lakini nyie mnatutelekeza, mfano mkija mkoa tutawatafutia guest house na sato tunakuonyesha lakini nyie hata sehemu wanapouza nazi hamtuonyeshi alafu mnatuacha tunaingia kichwa kichwaWatu wa mkoani mna shida...
Watu wa Dar bwana,
Kabla hujaenda ukimpigia simu anakwambia karibu sana kaka ukija usiache kunitafuta. Ukifika ukampigia kwanza anakuuliza umefikia wapi, unamwambia nipo Kawe, utasikia nipo Kibaha kuna issue nashughulikia ntakuchek kesho.
Kesho ndo hutaiona simu yake ng'oo. Ukimpigia simu kumwambia kesho naondoka, utaskia mbona fasta kaka, daah sema umekuja bahati mbaya sana hivi nipo taiti kiaina ila ukija tena tutamit tu.
Woote sound zao hizo hizo, utadhani mwalimu wao mmoja.
Halafu wao wakija huku wanapopaita mikoani, Anataka uwe nyuma yake 24/7, utadhani mnatafuta wadhamini. Stori zake sasa. Hivi huku mikoani mnaishije? hakuna mzunguko wa hela kabisa.
Hiyo mizunguko ya hela huko Dar ingekuepo si wote mngekuwa Bakhressa. Tusiharibiane swaumu aisee, acheni hizi tabia.
Kweli aisee watu wa Dar mnazinguana sana.
Unaona sasa? Matusi yanatoka wapi sasa?
Ukosefu wako wa nidhamu unasahau sisi ndio wazazi wako. Sisi tumesoma middle school, mliosoma form three ni nyie mliozaliwa kipindi cha Mkapa. Heshimu wakubwa zako kijana.