Jogookoko
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 533
- 419
Tatizo watu wa mikoani hamna time saving,atataka kila sehemu anayoisikia na kuiona kwenye TV muende,mara twende kariakoo akazunguke zunguke kwenye maduka kazi kuulizia bidhaa na kulinganisha bei na mikoani,kununua hanunui.na kama kaja kwa safari ya kikazi na vipadiem vyake atataka anunue mpaka friji kisa pungufu ya bei ya elfu 50 tu.ikifika usiku nipeleke bills na maisha.ni tabu tu hawa jamaa.juzi kati kuna jamaa yangu kaja dar basi kanitafuta kazini mida ya mchana bahati nzuri ilikua lunch time,anataka kuingia kila duka posta,yaani kajisahau kabisa kwamba mi nipo kazini.Tutaanzisha kampuni za tour kwa ajili ya kuwatembeza mkija mjini mnakera aisee