Watu wa Dar es Salaam muache hii tabia, mnakera

Watu wa Dar es Salaam muache hii tabia, mnakera

Kama unatokea Mwanza lazima ataanza, jee unakuja na ndege ya saa ngapi? Usisahau samaki kaka! Utazani kwao hawana hapo ferry. Yeye akija ni storu tuu
 
Mkuu ukilegea sana utakuwa na wageni hata 10 kwa siku, matokeo yake utapoteza mda wako wa kutafuta. Isitoshe kama ni mawasiliano ya kawaida tu hata simu inatosha sana, si lazima kuonana uso kwa uso. Cha ajabu nchi za wenzetu walioendelea kuonana na mtu lazima kufanya appointment, tena kuonana kwao ni kimaslahi zaidi, si mambo ya ujomba, undugu na blabla

Mbona mkija mikoani mnataka company ZETU? Mtakula mtakunywa na hata viroba vya nyanya tunawapa Zawadi.
DSM wanaogopa kupokea ugeni. Watu wa mikoani wakija Dar huwa tumekamilika. Tunahitaji company tu
 
Khaa!! Wewe kilaza kweli kweli. Yaani mtu aache mishe zake ili muonane tu. Unachekesha sana, dar watu wako bize bana. Kama kuonana mbona siku hizi kuna mavideo calls kibao tu. Acha ushamba bana. Amka!
 
Mkuu ukilegea sana utakuwa na wageni hata 10 kwa siku, matokeo yake utapoteza mda wako wa kutafuta. Isitoshe kama ni mawasiliano ya kawaida tu hata simu inatosha sana, si lazima kuonana uso kwa uso. Cha ajabu nchi za wenzetu walioendelea kuonana na mtu lazima kufanya appointment, tena kuonana kwao ni kimaslahi zaidi, si mambo ya ujomba, undugu na blabla

Mtoa hoja anasema mbona nyie wa Dar mkiwa Mikoani mnataka kukarimiwa na kutetemekewa? Kwa hiyo ni ruksa wewe kukarimiwa ukiwa huko ila wao wakija Dar mawasiliano yanatosha? Hii kali.
 
...ili ukamtangaze kwamba jamaa anakaa kwa tumbo,mtogole au kwa mfuga umbwa ambako mnapopita kwenda unashika pua na mnapita juu ya madimbwi ya kimoni/kimba hafu anakaa stoo,na kama Ana kagari ka mukopo amekapaki oilicomu,aah wee rudi kimyakimya tu😀
 
...ili ukamtangaze kwamba jamaa anakaa kwa tumbo,mtogole au kwa mfuga umbwa ambako mnapopita kwenda unashika pua na mnapita juu ya madimbwi ya kimoni/kimba hafu anakaa stoo,na kama Ana kagari ka mukopo amekapaki oilicomu,aah wee rudi kimyakimya tu
 
mi nilienda kwa ndugu yangu nikakaribiswa vizuri kabisa mwenyeji wangu akamtuma mtoto aende dukani akalete coka mi nikajua ni yangu coz ndo mgeni pekee sinikajishaua kua sinywi coka nataka fanta na biskut loooo nikajibiwa kua sio yangu ni ya mgonjwa yuko ndani kalala dooo nilitamani kufa yaani pamoja na ugeni wangu hata soda ya (250 enzi ya mkapa ) kashindwa kuninunulia. watu wanateseka sana mjini

Hahahhahahahaha! Mkuu umenichekesha sana! Hapa ungejibu mapigo kwa kutoa hela ukampa mtoto akuletee soda wewe na mwenyeji wako pia ingekuwa poa!
 
Back
Top Bottom