eheee, diaspora ndio kiboko. ukiwa huku wanakuambia njoo majuu tutakutafutia madili, mimi nafanya kazi napata hela nzuri naishi vizurii usihofu. kumbe kule anaishi kwa kulala barabarani, vibarua vya kuosha vyombo na kupangusa nnye ya wazee, hana mbele wala nyuma. ukienda mji wake ukibahatika kumkuta ukawa karibu naye bills zote utakuwa unalipa wewe, atatoa sababu yeyote itakayoonyesha hela anayo lakini kuna technical prob kwenye card zake sijui kilienda wapi kikarudi....wengi wao watakukwepa usikutane nao, anaweza hata kusema ameenda nchi nyingine holiday. ajabu ni pale utakapokuja kukutana naye kitaa amepanga foleni..............