Watu wa Dar es Salaam muache hii tabia, mnakera

Halafu watu wa dar kupenda bar za barabarani halafu bia moj,a masaa tatu na vimishikaki vyenu vya jero njoni arusha mwendo wa pa.de

Ha haa haaa! Kausha unaua bendi.
 
Watu wa Dar bwana,

Kabla hujaenda ukimpigia simu anakwambia karibu sana kaka ukija usiache kunitafuta. Ukifika ukampigia kwanza anakuuliza umefikia wapi, unamwambia nipo Kawe, utasikia nipo Kibaha kuna issue nashughulikia ntakuchek kesho.

Kesho ndo hutaiona simu yake ng'oo. Ukimpigia simu kumwambia kesho naondoka, utaskia mbona fasta kaka, daah sema umekuja bahati mbaya sana hivi nipo taiti kiaina ila ukija tena tutamit tu.

Woote sound zao hizo hizo, utadhani mwalimu wao mmoja.

Halafu wao wakija huku wanapopaita mikoani, Anataka uwe nyuma yake 24/7, utadhani mnatafuta wadhamini. Stori zake sasa. Hivi huku mikoani mnaishije? hakuna mzunguko wa hela kabisa.

Hiyo mizunguko ya hela huko Dar ingekuepo si wote mngekuwa Bakhressa. Tusiharibiane swaumu aisee, acheni hizi tabia.

Kweli aisee watu wa Dar mnazinguana sana.

Haaaaaa you have made my day.
 
Pole sana ila kwani ukiwa unaenda dsm lengo lako linakuwa nini? Kutembea tu? Nenda na fanya yako hao fanya kama ziada maisha ya dsm kwa walio wengi ni choka mbaya sema kibishi siku zinasonga
Sawa kabisa,kuna wa karibu..karibu saaaana.Na wale wote volatile people yaani mnaachekeana tu muda mfupi na unampoteza kwenye memory yako kabisaaaa.Hawa huna haja ya kuhangaika nao,ila wa karibu na karibu sana hangaika kuwaona kama umekuja dar na kama kuna umuhimu ishia tu ulipofikia,Wakija mkoani nawe usishobokeee kimya na yako,..si lazima mambo mengine.
 
Najivunia sana kuzaliwa dar na kukulia dar. Unaweza kupata kitu chochote kwa mda wowote.. Dar ukitaka hata signature ya PM unaipata😀
 
Mambo vipiiii

Poa kabisa, ila sijamsikia shostito atoto kwenye huu uzi, sijui naye ataruka kihunzi kama ulivyonifanyia wewe!! Na mimi nazidi kumwita tu mpaka ajitokeze. Utasikia akuuu mi mwisho wangu Chalinze, huko dar sijawahi fika kabisaaaaa!!
 
Last edited by a moderator:
Watu wa Dar bwana,

Kabla hujaenda ukimpigia simu anakwambia karibu sana kaka ukija usiache kunitafuta. Ukifika ukampigia kwanza anakuuliza umefikia wapi, unamwambia nipo Kawe, utasikia nipo Kibaha kuna issue nashughulikia ntakuchek kesho.

Kesho ndo hutaiona simu yake ng'oo. Ukimpigia simu kumwambia kesho naondoka, utaskia mbona fasta kaka, daah sema umekuja bahati mbaya sana hivi nipo taiti kiaina ila ukija tena tutamit tu.

Woote sound zao hizo hizo, utadhani mwalimu wao mmoja.

Halafu wao wakija huku wanapopaita mikoani, Anataka uwe nyuma yake 24/7, utadhani mnatafuta wadhamini. Stori zake sasa. Hivi huku mikoani mnaishije? hakuna mzunguko wa hela kabisa.

Hiyo mizunguko ya hela huko Dar ingekuepo si wote mngekuwa Bakhressa. Tusiharibiane swaumu aisee, acheni hizi tabia.

Kweli aisee watu wa Dar mnazinguana sana.
Ukipata wageni wa mikoaniwawili tu sheeda tupu. Kwa uzoefu hawa jamaa wanapiga msosi kuliko kawaida. Tatizo wanapenda sana bure. Akija dar anakupiga mizinga na bado ukimkuta huko mikoani anakupiga mizinga akiamini umetoka dar unazo.
 
Poa kabisa, ila sijamsikia shostito atoto kwenye huu uzi, sijui naye ataruka kihunzi kama ulivyonifanyia wewe!! Na mimi nazidi kumwita tu mpaka ajitokeze. Utasikia akuuu mi mwisho wangu Chalinze, huko dar sijawahi fika kabisaaaaa!!
atoto hapa hawezi kufika kwa sababu hapati notification ila ngoja nikamleteee.
Yeye anauzaga mutumba kariakoo ngoja nikamlete
 
Last edited by a moderator:
atoto hapa hawezi kufika kwa sababu hapati notification ila ngoja nikamleteee.
Yeye anauzaga mutumba kariakoo ngoja nikamlete

Mmmh best mbona aibu hiyo!! hebu tufanye mpango basi tumtoe na simu yenye viwango bana
 
Back
Top Bottom