Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,517
Na wewe yamekukuta watu wa Dar niwashenz.I sana
Ndio ushangae kwanini serikali imegoma kuhamia Dodoma....
Na wewe yamekukuta watu wa Dar niwashenz.I sana
haaa haaaaaaa. Pole sana Mkuu
Kilaza hata mimi ilishawahi kunikuta hii sana tu. Ni miaka kumi iliyopita nilikuja kusoma chuo. Ndugu kibao hakuna aliyeniambia anaishi maeneo gani zaidi ya nitakutafuta kesho. Hata hivyo ndo maisha halisi, tubadilike. Si lazima ukifika Dar au mji wowote mkubwa ufikie kwa ndugu au rafiki, guest na lodge au hotel zipo nyingi tu, labda kwa wenye umri wa chini ya miaka 18 ndo wanahitaji mwenyeji. Mfano halisi, kakini (niacheni na msimamo wangu) kuna ndugu na rafiki kibao sidhubutu kuwaambia ninapoishi au kuwakaribisha, isipokuwa kama kaja Dar kwa sababu maalum, tena awe jamaa au rafiki yangu wa karibu sana. Sio kwa sababu tunatoka kijiji kimoja basi na huku ndo tuishi nyumba moja... HapanaNa wewe yamekukuta watu wa Dar niwashenz.I sana
Wakati mwingine shughuli zinabana Mkuu maana siku hizi muda nao unazidi kuwa mdogo na majukumu yanaongezeka kwa wakazi wengi wa Dar.. Ninaamini wakazi wengi wa Dar wanaamini unapokuja toka mkoani basi itabidi watoboke mifuko ili kuku-entertain.. Na tatizo jingine siku hizi mkija hambebi hata ndizi..!
Wako hivyo hivyo hao , utawasikia mara pesa mkoani taabu, ndorooooobo zenu. Mnaishia kumiliki gari mikweche na nyumba za kupanga
Ndio ushangae kwanini serikali imegoma kuhamia Dodoma....
Mkuu wewe umeolewa?
Mkuu wewe umeolewa?
Watu wa shamba hawajui watu wa mjini tunavyohenya kusaka minoti. Afu wakija wanataka kuchuna tu. Kuondoka hawataki. Ndio maana tunawapiga chini.
Na wewe yamekukuta watu wa Dar niwashenz.I sana
yamesha kukuta na wewe
Wakati mwingine shughuli zinabana Mkuu maana siku hizi muda nao unazidi kuwa mdogo na majukumu yanaongezeka kwa wakazi wengi wa Dar.. Ninaamini wakazi wengi wa Dar wanaamini unapokuja toka mkoani basi itabidi watoboke mifuko ili kuku-entertain.. Na tatizo jingine siku hizi mkija hambebi hata ndizi..!
Siku hizi wala siwaambii naenda, wanasikia tu alikuja,akaondoka. wengine utasikia yaani siku hizi urafiki wetu unazidi kupotea....eeeh soon urafiki uta-rest in peace. kama ni kuzikwa watanizika watu wangu wa mikoani au manispaa!