Watu ndani ya Mlimani city Mall

Watu ndani ya Mlimani city Mall

Sijasema umuoneshe kila mtu; ishi kwa uhalisia.
Majuzi kuna binti alipewa namba yangu akawa ana shida. Aliyemuekeza huwa tunakutana ofisini; binti nikamuelekeza aje nyumbani kwa kuwa sikuwa na mpango wa kutoka (Jumamosi - huwa nashinda kwenye banda la kuku kufanya usafi)
Binti alipokuja nikampa kiti hapo nje akaeleza changamoto zake nikamweleza tuonane ofisini J.tatu.

Ile anakuja J.tatu anakuta pale mbele kuna PS - kuingia ofisini kwangu - alinishangaa! Ananiuliza hivi kumbe we ni mtu mkubwa alafu ukiwa nyumbani unakuwa kama mchunga mfugo?
Nilimweleza hivi .. hizo pesa za kuwalipa vijana wa kufanya usafi ndo natumia jioni baada ya kutoka kwenye mabanda ya kuku.
Huko ndo kuishi maisha halisi - sio mtu unajifanya mfanyabiashara kumbe hata kibanda huna.
Sasa wewe unataka kama nimkata nyasi za ng'ombe afike na toroli lake au wewe unatakaje? Embu nipe ufafanuzi mtu unajitembelea unaanzaje kumjua mtu maisha yake yapo vipi. kwani umesaidia wangapi, au kama mtu anamaisha magumu amwambie kila mtu ana maisha magumu mie watu wengine hata siwaelewagi kabisa, na huyo binti ni baada ya kupewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na sister wa town utamkuta amebeba handbag gucci amevaa kiatu Lois Vuitton. Hapo vyote ameazima. Ni saa tisa mchana na hajapata kifungua kinywa.
Duuh....! Kwa kweli hiyo ndio dar. Ukikutana nae,unaweza kudhani hapo kuna bonge la mtu amekuja shoping ya kutosha,kumbe amekuja kucheck namna gani ya kupiga mizinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ya kuigiza ni mzigo sana wakati mwingne ,kuna mdau mmoja wa hapa JF simkumbuki jina aliwahi andika "appearance of weakness is a greatest advantages " nilijifunza kitu

Mda mwingne kwenye ni bora kuonekana tu masikini usaidike kuliko kujifaragua na hamna kitu
Tena nataka kukuambia raha sana kuishi kiuhalisia,unakuwa huna cha kuandika andika ili ukumbuke wapi ulidanganya nini,wapi ulipiga fix hivi. Ishi kiuhalisi utaona raha ya duniani. Kuishi kwa kufake life mateso

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndo maana unaambiwa kuishi dar tu tayari ni elimu ya form four!

hadi kuingia mlimani city kununua bidhaa mule lazima uwe unaconfidence kwanza ya juu!

watu wanapanda magari temeke wanenda nunua ICE CREAM mlimani city!

mlimani city kama ulikuwa hujui chumba kidogo kabisa cha biashara kwa mwezi Mil 14!
Kwa Dar ya sasa nadiliki kusema kuwa kuishi Dar ni sawa na kuishia form two ya kata.
 
Back
Top Bottom