Watu ndani ya Mlimani city Mall

Watu ndani ya Mlimani city Mall

Mwenye kujua bei za frem hapo mlimani city tafadhali.
 
Siku Nikija hapo mlimani city mbona ntaonekana mshamba peke angu..na hivi sijuagi kujizuia kushangaa
 
Hakuna watu wa hovyo kama wa DAR has a vijana ,unakuta kijana anaishi nyumba ya kupanga chumba kimoja tu tena cha futi tank kwa tank lakini showoff yake pale mlimani city utafikiri ana ghorofa ,then anamdharau kijana mchakalikaji kwenye maisha yake kijijini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoto wa uswahilini Dar wanaonaga kama Mlimani City sijui ni mbinguni. Yani mtu yupo tayari afunge safari kutoka Gongo la Mboto hadi M. City akashangae na kupiga picha wakati mimi natoka tu ghetto kwangu Mlalakua naenda kununua six pack Nakumat kama naenda dukani kwa mangi

Hivi nakumat walirudi?
Nina miaka sijafika mlimani
 
Back
Top Bottom