Kurutu wa Mungu
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 366
- 579
Watu wa Dar ni kawaida yao na hasa wakijua kuna mtu wa mkoani jirani yao anasikiliza








Watu wa Dar ni kawaida yao na hasa wakijua kuna mtu wa mkoani jirani yao anasikiliza








Watu wa Dar ni kawaida yao na hasa wakijua kuna mtu wa mkoani jirani yao anasikiliza




Kuna watu duniani wanapenda kurusha watu Yani anapanda basi kutoka mbagala baada yakuoga vizuri nakuazima viwalo mpaka marashi na cheni anakuja kuwarusha watu Yani yeye anapenda tension umwangalie au umuulize swali. Watu kama hawa wapo maofisin na kila eneo la maisha yetu isipokuwa makini unapotea nakuumia bure wewe ukitaka kuthibitisha maneno yangu wewe mfuwatilie huyo MTU uwenda mwisho anenda kupanda basi nakurud mbagala bila hata kununua kitu. MTU mwingine anaweza kujifanyisha anajenga ukatahamaki material anataja njoo mfukoni anabook mbil au moja Tu mbaya hata SIM unafikiri anaongea nayo ni uwongo hao wapo mpaka kwenye mabasi Yani Dar ni shida tupu.Kuna jambo nimekuwa nikiliobserve kila nikiwa nafanya manunuzi yangu pale Mlimani City..Idadi kubwa ya watu ninaopishana nao wengi utawasikia wakiongea kuhusu kuishi nje ya nchi,kuhusu kuondoka nchini siku sio nyingi,kuhusu kwenda China,India kufunga mzigo wa biashara na mengine mengi..
Najua inaweza kuwa kitu cha kawaida..na always tunashauriwa kumind our own bussiness lakini kwa hili limenifikirisha kidogo..
Hivi wakuu watu wengi wanaokuwa Mlimani City ni kwamba wana class au aina hiyo ya maisha au inakuwaje??..
Sent using Jamii Forums mobile app