Watu ndani ya Mlimani city Mall

Watu ndani ya Mlimani city Mall

Na sister wa town utamkuta amebeba handbag 👜 gucci amevaa kiatu Lois Vuitton. Hapo vyote ameazima. Ni saa tisa mchana na hajapata kifungua kinywa.

Maisha ya kuigiza ni mzigo sana wakati mwingne ,kuna mdau mmoja wa hapa JF simkumbuki jina aliwahi andika "appearance of weakness is a greatest advantages " nilijifunza kitu

Mda mwingne kwenye ni bora kuonekana tu masikini usaidike kuliko kujifaragua na hamna kitu
 
Tatizo la watu wa dar hawaishi maisha ya kiuhalisia. Unamkuta mtu mchana kapendeza kweli kweli kumbe usiku anajibanza kwenye kona na walinzi alafu analalia mabox. Shuka la masai anatembea nalo kwenye kibegi kidogo. Nguo zingine ziko kwa dobi. Maisha gani hayo???
Usafi huficha umasikini sasa kama kapuku ndiyo umuonyeshe kila mtu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jambo nimekuwa nikiliobserve kila nikiwa nafanya manunuzi yangu pale Mlimani City..Idadi kubwa ya watu ninaopishana nao wengi utawasikia wakiongea kuhusu kuishi nje ya nchi,kuhusu kuondoka nchini siku sio nyingi,kuhusu kwenda China,India kufunga mzigo wa biashara na mengine mengi..

Najua inaweza kuwa kitu cha kawaida..na always tunashauriwa kumind our own bussiness lakini kwa hili limenifikirisha kidogo..

Hivi wakuu watu wengi wanaokuwa Mlimani City ni kwamba wana class au aina hiyo ya maisha au inakuwaje??..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga tu wa ubishoo.
 
Watu wa mkoani shida mno ndio maana umasikini unazidi huko kwenu. Kwani mtu aki pretend maisha mengine wewe inakuuma nini au inakuzuia nini kwenye harakati zako za kutafuta hela? Mwache aigize maisha ambayo sio yake wewe ishi yako ambayo ni halisi ili ufanikiwe zaidi. Mimi muda wa kuangalia mwenzangu anafanya nini ni kwa nadra sana tena nikiwa na muda na ni kwa kujifunza tuu sio kukasirika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani watu wana pH za umbeya wewe umeenda na mambo yako eti ufike kusikiliza watu wanaongea nini hata mie nimemshangaa sana huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Kweli! Ingawa Kasumba Iliyopo Bongo Kwa Watu Wa Hali Zote Ni Kudhani Kuwa Kila Mtu Anayeenda Sehemu Kama Mlimani City Ni Wa Class Ya Juu Sana Jambo Ambalo Hupelekea Na Wao Kwenda Huko Ili Wajihisi Nao Ni Wa High Class. Na Wapo Wanao Amini Kuwa Hata Bidhaa Za Hapo Ni Bora Zaidi Kuliko Mahala Popote Mjini.
Kumbe wote mmetoka shamba....af kila mmoja anaamini mwenzake katoka majuu....mwisho kila mmoja anaanza kuvunga...yaan majengo haya yanatesa watu sana...umenchekesha mkuu
 
Kama wanaishi nje ya nchi au wanatarajia kusafiri shida iko wapi?
 
Watu wa Dar ni kawaida yao na hasa wakijua kuna mtu wa mkoani jirani yao anasikiliza
Kweli kabisa. Jamaa ni mbea balaa yaani anasikilizaga maongezi ya watu wote wanaotmbelea mlimani city. Angesogea pale pembeni ya samaki samali aagize juice glass moja aletewe bili tsh.12000 ndio angejua mlimani city sio Tandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom