spinderella
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,393
- 1,905
Noma sana asee! Kuishi mjini mipangoNa sister wa town utamkuta amebeba handbag 👜 gucci amevaa kiatu Lois Vuitton. Hapo vyote ameazima. Ni saa tisa mchana na hajapata kifungua kinywa.
Ahh tena akiwa na 10,000 atapiga budget ya lip gloss 5,000 kwanza kabla ya kula. Keeping up appearancesNoma sana asee! Kuishi mjini mipango
Wazungu wanasema personality wins the dayAhh tena akiwa na 10,000 atapiga budget ya lip gloss 5,000 kwanza kabla ya kula. Keeping up appearances
Wewe umefikaje hadi uhisi wenzio wamepaona kwenye movie tu?Wengi mbwembwe tu, majuu wamepaona kwenye muvi
Unajuaje ameazima?Na sister wa town utamkuta amebeba handbag 👜 gucci amevaa kiatu Lois Vuitton. Hapo vyote ameazima. Ni saa tisa mchana na hajapata kifungua kinywa.
Mil 14ndo maana unaambiwa kuishi dar tu tayari ni elimu ya form four!
hadi kuingia mlimani city kununua bidhaa mule lazima uwe unaconfidence kwanza ya juu!
watu wanapanda magari temeke wanenda nunua ICE CREAM mlimani city!
mlimani city kama ulikuwa hujui chumba kidogo kabisa cha biashara kwa mwezi Mil 14!



zaidi kila mtu anajua kila kituMaisha ya mlimani city ni kama ya jf,kila mtu kasoma,kila mtu Ana gari,kila mtu ana biashara kubwa,na kila mtu kakaa nje ya nchi.
Kinachonishangaza na wanawake asilimia kubws kuongea kingereza..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ya mlimani city ni kama ya jf,kila mtu kasoma,kila mtu Ana gari,kila mtu ana biashara kubwa,na kila mtu kakaa nje ya nchi.
Unaandikaje? Kila neno linaanza na herufi kubwa?Ni Kweli! Ingawa Kasumba Iliyopo Bongo Kwa Watu Wa Hali Zote Ni Kudhani Kuwa Kila Mtu Anayeenda Sehemu Kama Mlimani City Ni Wa Class Ya Juu Sana Jambo Ambalo Hupelekea Na Wao Kwenda Huko Ili Wajihisi Nao Ni Wa High Class. Na Wapo Wanao Amini Kuwa Hata Bidhaa Za Hapo Ni Bora Zaidi Kuliko Mahala Popote Mjini.
Where everybody is a potential shoplifter given how you get treated by store security. Its very embarrassing.
Ahaaahaaahaaa titajirekebishaTimezoea hivyo Mkuu..tisamehe aloo..titajirebisha!
Mkuu kutafuta kura inahitaji akiliNdiyo tatizo letu. Tumechelewa vitu vingi sana.
Ndiyo sababu ufunguzi wa Flyover inakuwa tukio kubwa la kitaifa. Hao wenye zaidi ya 50 watafanya nini?
Kupokea ndege moja au mbili ni tukio la kitaifa. Ethiopia wenye ndege zaidi ya 70 watafanya nini?
Vitu kama Mlimani City, vingekuwa kila pembe ya Dar, huo ushamba usingekuwepo.
Kusaini mkataba wa kuuziana mahindi nalo tukio la kitaifa.
Hakuna tofaufi na jf kila mmoja humu mambo safi gari nyumba na vitu vizuri kama vyote vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nikiwa Mlimani City hamu ya kuongea Kiswahili inaniisha kabisa...
Sent using Jamii Forums mobile app
wabongo mnakaz