Watu ndani ya Mlimani city Mall

Watu ndani ya Mlimani city Mall

Kuna jambo nimekuwa nikiliobserve kila nikiwa nafanya manunuzi yangu pale Mlimani City..Idadi kubwa ya watu ninaopishana nao wengi utawasikia wakiongea kuhusu kuishi nje ya nchi,kuhusu kuondoka nchini siku sio nyingi,kuhusu kwenda China,India kufunga mzigo wa biashara na mengine mengi..

Najua inaweza kuwa kitu cha kawaida..na always tunashauriwa kumind our own bussiness lakini kwa hili limenifikirisha kidogo..

Hivi wakuu watu wengi wanaokuwa Mlimani City ni kwamba wana class au aina hiyo ya maisha au inakuwaje??..

Sent using Jamii Forums mobile app
'When you wanna to shoot, shoot but dont talk'
 
Kwani mkuu kuingiza M city Mall ndo kuwa na pesa zisizo na kazi au kuonekana mtu wa daraja fulani kubwa?

Ila ni swala la mtazamo binafsi tu.

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Sasa wewe unataka kama nimkata nyasi za ng'ombe afike na toroli lake au wewe unatakaje? Embu nipe ufafanuzi mtu unajitembelea unaanzaje kumjua mtu maisha yake yapo vipi. kwani umesaidia wangapi, au kama mtu anamaisha magumu amwambie kila mtu ana maisha magumu mie watu wengine hata siwaelewagi kabisa, na huyo binti ni baada ya kupewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye bold vipi?
 
Sisi wengine hicho ndio kijiwe chetu na hatujawai kusikia habari huo
 
Umasikini ni shida sana Zambia wana mall kama Mlimani city zipo tano Lusaka tuu hapo ni kawaida tuu hamna kinachozungumzwa zaidi ya watu kuzoea bei zile zile sio kubwa kivile Bongo hapo Mr Price tuu duka la wachimbachumvi kwa kaburu Bongo ndio bei vitu vyake vipo juu na vya kawaida tuu ndio maana mnazungumzia class...
 
Mr Price ni duka la wanafunzi sana huko South..watu wazima wengi wana ya kwao Jet, Ackermans, Woolworths, Trueworth, n.k...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr Price ni duka la wanafunzi sana huko South..watu wazima wengi wana ya kwao Jet, Ackermans, Woolworths, Trueworth, n.k...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sasa hivi ukitaka kununua vitu vyenye ubora ni hayo maduka uliyoyataja sio Mr. Price vitu vyao vingi vya ujanja ujanja havina ubora miaka ya nyuma walikua wanachukua sale maduka makubwa na kutoa lebo na kuuza Mr.price baadhi ya bidhaa chache ndio zilikua zao wamshukuru Mchina maana nao wana order wenyewe huko kama Woolworths na jet...
 
ndo maana unaambiwa kuishi dar tu tayari ni elimu ya form four!

hadi kuingia mlimani city kununua bidhaa mule lazima uwe unaconfidence kwanza ya juu!

watu wanapanda magari temeke wanenda nunua ICE CREAM mlimani city!

mlimani city kama ulikuwa hujui chumba kidogo kabisa cha biashara kwa mwezi Mil 14!
bila shaka chai hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umasikini ni shida sana Zambia wana mall kama Mlimani city zipo tano Lusaka tuu hapo ni kawaida tuu hamna kinachozungumzwa zaidi ya watu kuzoea bei zile zile sio kubwa kivile Bongo hapo Mr Price tuu duka la wachimbachumvi kwa kaburu Bongo ndio bei vitu vyake vipo juu na vya kawaida tuu ndio maana mnazungumzia class...

Bila kutaja Zambia na SA comment yako jf inakua haijakamilika,tiresome.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Bila kutaja Zambia na SA comment yako jf inakua haijakamilika,tiresome.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hizo nchi zilikua hovyo sana kipindi cha nyuma ila wameendelea kwa kasi sana kwa kipindi kifupi nipo Hong Kong mbona ziizungumzii kama unadhani natafuta kiki,Nimepita Vietnam,Cambodia,Singapore Thailand na China ndio Center yangu unataka kitu kingine...
 
Kwani kuishi nje ya nchi, kwenda nje ya nchi, na kwenda China na India kufunga mzigo ndo kuwa na ‘class’?
Yes! acha kabisa kuishi nje level nyingine kabisa, asikwambie mtu, hasa ukipatia nchi, nakwambia hutarudi mzima, hata kwenda kufunga mzigo, lazima utakuwa na mpunga si kitoto, hapo tu tayari ''uko classic!'' huwezi kwenda nje km unaenda k/koo kununua vihepe, Msosi Bomba unagonga tena bei rahisi, ndani ya pipa na unapofikia,

Madalali kibao wa Lugha wanaishi zaidi ya waziri majaliwa, walianzaga ivoivo! hawakurudi mpaka leo!

Customer care ya nje imeenda shule nzuri haina ujanja ujanja km wa Bongo Mara uibiwe, utapeliwe! wakikuamuni unaweza lipia mzigo kidogo kidogo, unavotaka siku ukiwa tayari unaenda beba. wanakutafutia Hotel nzuri wao km Motisha!

nakuuliza utaacha kuzichanga?
 
Madalali wa lugha ndo wapi hao?
 
Watoto wa uswahilini Dar wanaonaga kama Mlimani City sijui ni mbinguni. Yani mtu yupo tayari afunge safari kutoka Gongo la Mboto hadi M. City akashangae na kupiga picha wakati mimi natoka tu ghetto kwangu Mlalakua naenda kununua six pack Nakumat kama naenda dukani kwa mangi
We nae mshamba tu,kwenda kununua sixpack nakumat ndo cha kusimulia...yaan mlalakua pote huko ,si ungeenda mwenge tu
 
Back
Top Bottom