Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,179
- 34,435
Samahani, we ni wa kuja?Yaan mkuu kama haujawahi kuingia Mlimani City siku ukiingia utajiona kama upo China vile
Samahani, we ni wa kuja?Yaan mkuu kama haujawahi kuingia Mlimani City siku ukiingia utajiona kama upo China vile
Noma sana..Ndege nyingine inaletwa mwezi huu, tujiandae kwenda kuipokea kuanzia Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Speaker wa Bunge, Jaji Mkuu, CDF, IGP, nk.
Mkuu umenivunja mbavutunaoenda mlimani city kwa ajili ya kujisaidi tu comment zetu tunaweka wapi?
Mlimani city ni shopping mall ya kawaida Sana.Kuna jambo nimekuwa nikiliobserve kila nikiwa nafanya manunuzi yangu pale Mlimani City..Idadi kubwa ya watu ninaopishana nao wengi utawasikia wakiongea kuhusu kuishi nje ya nchi,kuhusu kuondoka nchini siku sio nyingi,kuhusu kwenda China,India kufunga mzigo wa biashara na mengine mengi..
Najua inaweza kuwa kitu cha kawaida..na always tunashauriwa kumind our own bussiness lakini kwa hili limenifikirisha kidogo..
Hivi wakuu watu wengi wanaokuwa Mlimani City ni kwamba wana class au aina hiyo ya maisha au inakuwaje??..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo wengi wanaigiza sana maisha kwa sababu ni washamba.Kuna jambo nimekuwa nikiliobserve kila nikiwa nafanya manunuzi yangu pale Mlimani City..Idadi kubwa ya watu ninaopishana nao wengi utawasikia wakiongea kuhusu kuishi nje ya nchi,kuhusu kuondoka nchini siku sio nyingi,kuhusu kwenda China,India kufunga mzigo wa biashara na mengine mengi..
Najua inaweza kuwa kitu cha kawaida..na always tunashauriwa kumind our own bussiness lakini kwa hili limenifikirisha kidogo..
Hivi wakuu watu wengi wanaokuwa Mlimani City ni kwamba wana class au aina hiyo ya maisha au inakuwaje??..
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa ni miongoni mwa waigizaji
Of course ukiwa na hyo exposure unakuwa tofauti na waswahili walio huko uswahilini.Kwani kuishi nje ya nchi, kwenda nje ya nchi, na kwenda China na India kufunga mzigo ndo kuwa na ‘class’?
Miaka ya nyuma 2006 kipind npo A level nimetja zangu mburahati huko chocho nkaenda mliman city
Nkaa restaurant za pale njee nkaagza soda nkalewa fanta ya barid duuu nkatoa 5000 nkarudishiwa 4000 wakat shop kwa mango soda 250
Mpaka leo cjawah kukanyaga tena na sasa npo zangu mkoani
Pumbafuuuu zao!
Sent using Jamii Forums mobile app




Kwani uongo! tena hao ni wengi na wako smart kinoma.
Mbona safi tu....Ndege nyingine inaletwa mwezi huu, tujiandae kwenda kuipokea kuanzia Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Speaker wa Bunge, Jaji Mkuu, CDF, IGP, nk.
Wapi nimesema kuna shida?Mbona safi tu....
kwani kuna shida!!??
Bro sio kwamba inaniuma kivile ... ila nashangaa mtu anavyokuwa bize kuudanganya ubongo wake mchana eti atasafiri kwenda china -- usiku arudi kwenye uhalisia kwenye korodo la dula la mangi.Watu wa mkoani shida mno ndio maana umasikini unazidi huko kwenu. Kwani mtu aki pretend maisha mengine wewe inakuuma nini au inakuzuia nini kwenye harakati zako za kutafuta hela? Mwache aigize maisha ambayo sio yake wewe ishi yako ambayo ni halisi ili ufanikiwe zaidi. Mimi muda wa kuangalia mwenzangu anafanya nini ni kwa nadra sana tena nikiwa na muda na ni kwa kujifunza tuu sio kukasirika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro sio kwamba inaniuma kivile ... ila nashangaa mtu anavyokuwa bize kuudanganya ubongo wake mchana eti atasafiri kwenda china -- usiku arudi kwenye uhalisia kwenye korodo la dula la mangi.
Hiyo ni nguvu kazi inapotea bure; unataka kuniambia idadi kubwa iliyoko Dar bila kazi wakivamia sehemu wakaanzisha shughuli mbona huo ni mji mwingine tosha?
😀😀😀😀😀😀😀😀
umenimaliza mkuu sina nenoMaisha ya mlimani city ni kama ya jf,kila mtu kasoma,kila mtu Ana gari,kila mtu ana biashara kubwa,na kila mtu kakaa nje ya nchi.
NadhanClass nimeitumia kama aina ya watu wanaofanana au kufanya jambo moja..mfano class seven kwa shule..niko tayari kurekebishwa kama nimekosea kutumia hilo neno ..
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀😀Miaka ya nyuma 2006 kipind npo A level nimetja zangu mburahati huko chocho nkaenda mliman city
Nkaa restaurant za pale njee nkaagza soda nkalewa fanta ya barid duuu nkatoa 5000 nkarudishiwa 4000 wakat shop kwa mango soda 250
Mpaka leo cjawah kukanyaga tena na sasa npo zangu mkoani
Pumbafuuuu zao!
Sent using Jamii Forums mobile app