RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,874
- 129,880
Hawa washamba wanaona Europe big deal kishenzi.Unajifaragua!
Hawa washamba wanaona Europe big deal kishenzi.Unajifaragua!
Wachangiaji wengi wana inferiority complex na ushamba.Sawa sawa mwisho nimemaliza kusoma. Hoja za msingi kutoka kwa wachangiaji.
1. Inaonekana shopping malls sio nyingi ni chache zinafuatwa mbali saana.
2. Pia hawa wqchangiaji wakienda shopping mall wanapania..kuna mdau mmoja amesema yeye huwa anapendeza anaenda kutoa nuksi.
3. Pia wadau wengi wanaolalamikia suala la wateja kuzungumza kiingereza. Hii inaashiria wachangiaji wanafikra fulani za kuwagawanya watu kwa lugha.
4. Ila pia inaonekana wateja wa hayo maeneo kimaisha wanajiweza ndiyo maana wanaongelea safari za nje ya nchi. Hili japo wachangiaji wamelikimbia wameshindwa kueleza ni kwa vipi kusafiri nje kuna uhusiano na ubora wa maisha ya mtu.
5. Mwisho kabisa inaonekana wachangiaji hawataki kuwa wawazi. Wanaficha misimamo yao juu ya mada letwa.
Wala siko impressed na wewe kukaa europe 10 years, sijui unaweza kwenda huko anytime blah..blah. Pamoja na mimi kukaa huko wala sijivunii kuhusu hilo, teh..Ha ha ha nilijua utasema hivyo kwasababu kwako ni big deal. Let me tell this. Nimesoma,nimeishi Europe zaidi ya miaka kumi sasa hivi niko Bongo nakwenda huko anytime I want to. Kwahio usiangalie watu usiowajua ukiwakuta Tz ukafikiri eti hawa hawajafika Europe sijui takataka gani.
Mikoani ndio karibia wengi wanaenda kufungia mizigo yao ya maduka yao dubai na china. Uliza mbeya 60% ya wafanyabiashara pale wanafungia mizigo yao china na dubai. Isingekuwa hiyo kodi kuwa kubwa zaidi uipatayo,karibia ingekuwa 80% mpaka sasa wanaenda kufungia mizigo huko. Kodi ndio tatizo kwa sasa bandariniWatu wa Dar ni kawaida yao na hasa wakijua kuna mtu wa mkoani jirani yao anasikiliza
Ha ha ha nilijua utasema hivyo kwasababu kwako ni big deal. Let me tell this. Nimesoma,nimeishi Europe zaidi ya miaka kumi sasa hivi niko Bongo nakwenda huko anytime I want to. Kwahio usiangalie watu usiowajua ukiwakuta Tz ukafikiri eti hawa hawajafika Europe sijui takataka gani.
Nimekwambia nataka uwe impressed? Nimekwambia ili uache ushamba kuona huko umefika wewe tu and it's a big deal. Naona umerudi kwenye mstari.Wala siko impressed na wewe kukaa europe 10 years, sijui unaweza kwenda huko anytime blah..blah. Pamoja na mimi kukaa huko wala sijivunii kuhusu hilo, teh..
Boss unaweza kujaji jinsi unavyoona inafaa.Mkuu sijawah kushuhudia ukiwa kwenye marumbano namna hii...we ni moja ya watu ambao wapo smart sana JF ....japo Jf kila mtu ni mjanja na sio maskin, na katembea nje..ila comment yako hii inaonesha kuna jambo halipo sawa....
Kuna mtu anataka kukuharbia siku...Boss unaweza kujaji jinsi unavyoona inafaa.
That won't happen.Kuna mtu anataka kukuharbia siku...
haha..we jamaa unajidaigi matawi ya juu sana, utakuwa ni wale wa kubebwa na uncle. kwani kukaa europe 10 yrs ni ishu basi? ni sawa tu na mtu anayehama toka koromije kwenda dar au sehemu nyingine yoyote, labda kama kuna watu humu hilo linawatetemesha. Umeshapata Pm za mademu, siyo?Nimekwambia nataka uwe impressed? Nimekwambia ili uache ushamba kuona huko umefika wewe tu and it's a big deal. Naona umerudi kwenye mstari.
Ha ha ha.haha..we jamaa unajidaigi matawi ya juu sana, utakuwa ni wale wa kubebwa na uncle. kwani kukaa europe 10 yrs ni ishu basi? ni sawa tu na mtu anayehama toka koromije kwenda dar au sehemu nyingine yoyote, labda kama kuna watu humu hilo linawatetemesha. Umeshapata Pm za mademu, siyo?
Mlimani city ndo wap chaliii angu? Nitoe ushambaWatoto wa uswahilini Dar wanaonaga kama Mlimani City sijui ni mbinguni. Yani mtu yupo tayari afunge safari kutoka Gongo la Mboto hadi M. City akashangae na kupiga picha wakati mimi natoka tu ghetto kwangu Mlalakua naenda kununua six pack Nakumat kama naenda dukani kwa mangi
ngoja nikiokota bakubaku ya mtasha nitakupelekaMlimani city ndo wap chaliii angu? Nitoe ushamba
Yoooveeeengoja nikiokota bakubaku ya mtasha nitakupeleka
Ndio lugha gani hii sasa? Utakua huendi Mlimani City, shauri yako!Yoooveeee