Watu ndani ya Mlimani city Mall

Watu ndani ya Mlimani city Mall

Interpretation by way of innuendo...
the way ulivyoweka ...ni kama bonge la washamba flan....wanakusanyika kupokea ndege.....najua umenielewa
It's shameful for the national leaders to gather every now and then for something that can be handled by a district commissioner.
Surely, our leaders must have better things to do!
 
Nikienda zangu M City nazunguka zangu mle ndani nakula kiyoyozi narudi zangu skani kula van'ga nikitoka hapo nipo zangu handasi, naenda zangu Nakumati kwenda kuwinda mademu wakali mle ndani huko mfukoni nikiwa na simbi kama m'buku ten nazunga nalo hadi mida ya night nachukua zangu mdaladala linaniburuza zangu hadi skani mitaa ya Tandika....

Ukiwa mitaa kama hiyo jifanye huna time na raia, kula zako rugu kimya
 
Kila demu ukimgusa anasema anatoka US, canada au uk

Ni shida mimi yashanikuta..kidogo nilie

Sent using Jamii Forums mobile app
Demu kama huyo unamjibu Ok 'mm ndiyo nimeingia leo asubuhi kutoka Uswiss, na nimekuja na ndege ya moja kwa moja ya Swiss Air you known.... Halafu unajifanya kama vile hujui nn kinacho endelea

Mim huwa sikubali kujiweka mnyonye hata siku moja ilihali najua jinsi ya kukutoka kimaneno na ukaingia line....
 
Hata ushamba una muda wake wa kwisha kama ulitoka Namabengo jana huwezi kuendelea kuwa mshamba wakati ndio ushahamia mjini unaanza kujifunza jambo moja baada ya jingine, ila wapo pia waliozaliwa mjini wamekulia mjini lakini bada washamba sana kuliko hao waliotoka kijijini jana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Kweli! Ingawa Kasumba Iliyopo Bongo Kwa Watu Wa Hali Zote Ni Kudhani Kuwa Kila Mtu Anayeenda Sehemu Kama Mlimani City Ni Wa Class Ya Juu Sana Jambo Ambalo Hupelekea Na Wao Kwenda Huko Ili Wajihisi Nao Ni Wa High Class. Na Wapo Wanao Amini Kuwa Hata Bidhaa Za Hapo Ni Bora Zaidi Kuliko Mahala Popote Mjini.
 
Tatizo la watu wa dar hawaishi maisha ya kiuhalisia. Unamkuta mtu mchana kapendeza kweli kweli kumbe usiku anajibanza kwenye kona na walinzi alafu analalia mabox. Shuka la masai anatembea nalo kwenye kibegi kidogo. Nguo zingine ziko kwa dobi. Maisha gani hayo???
mbona mikoani mashamba mengi waje tulime

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja niende kwanza huko Mliman City nikasikie hizo kauli, halafu nitarudi kucomment....
 
Tatizo la watu wa dar hawaishi maisha ya kiuhalisia. Unamkuta mtu mchana kapendeza kweli kweli kumbe usiku anajibanza kwenye kona na walinzi alafu analalia mabox. Shuka la masai anatembea nalo kwenye kibegi kidogo. Nguo zingine ziko kwa dobi. Maisha gani hayo???
Mjini shule Dar form six
 
Mmh sio kweli asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom