Watoto wazuri mpo wapi?

Watoto wazuri mpo wapi?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,552
Reaction score
64,958
Maisha bila watoto wazuri, hayaendi kabisa.

Hapa najihisi kichwa ni kizito sana, nikienda kibaruani nafokea fokea tu wafanyakazi.

Nimekuwa ni mtu wa hasira hasira, ukinisemesha kidogo tu, na kukoromea.

Nadhani suluhisho ni kupata mtoto mzuri, wa kuanzia miaka 30 na kuendelea, ili tubadilishane naye mawazo katika bustani ya edeni.

Najua watoto wazuri humu wapo.

Hela sio tatizo, tatizo ni matumizi tu, uko wapi tutoke wote?​
 
Back
Top Bottom