Watoto wazuri mpo wapi?

Watoto wazuri mpo wapi?

Kweli kabisa, maisha bila hawa watu yafaa nini, shida no pale unakutana na mtu badala ya kufurahia maisha unabeba stress zake, ana void kwenye moyo, she can't offer you what toy want.
 
Inapendeza ukiwa na wawili au watatu na wasijuane, ingawa changamoto itakuwa kwenye bajeti.

Grace akikupa stress, unaenda kupumzika kwa zainabu, zainabu kama haeleweki, unaenda kwa Ashura; hapo stress lazima zipungue.

Na kama wote, watakuwa na uzao wako, unakuwa umetengeneza 'bond'​
 
Huo ni umalaya!🤣
 
Back
Top Bottom