Watoto wazuri mpo wapi?

Watoto wazuri mpo wapi?

Muhimu kuwa na mpira wa kona, ila sio kugandana.
Kugandana ni kuzuri, ingawa ina gharama zake; kwa upande wangu nikiona mdada ni mzuri na ana sifa zangu, nitamuwekea mazingira angalau anizalie tu, ili mwisho wa siku niwe naenda kumuona mtoto na kukumbushia.​
 
Usiombe kuzaa na mwenye akili fupi. Anazaa kumbe hataki kulea, hajui kulea, hana mpango na watoto.
 
Kugandana ni kuzuri, ingawa ina gharama zake; kwa upande wangu nikiona mdada ni mzuri na ana sifa zangu, nitamuwekea mazingira angalau anizalie tu, ili mwisho wa siku niwe naenda kumuona mtoto na kukumbushia.​
Una watoto wangapi mpaka sasa mkuu? maana wazuri ni wengi sana, tatizo beki hazikabi, yaani nyavu zipo wazi kila forward anafunga, hata Dumbia.
 
Ukweli utaujua baada ya kuzaa.
Mwanzani unamjulisha wewe ni mme wa mtu, na unampa lengo la wewe kuwa naye, unamsapoti kwenye biashara au shughuli zake, ikiwezekana, ata kiwanja n.k
Baada ya hapo atakuheshimu, muhimu pia awe mbali au mkoa mwingine na mke halali.​
 
Back
Top Bottom