Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,552
- 64,957
- Thread starter
- #61
Sikuwezi mkuu. Live your life. Peace ✌️
Tunawekeza mkuu, fainali ni uzeeni, mambo ya kutegemea watoto wa jirani au wafanyakazi kuja kunihudumia, siitaji.
Sikuwezi mkuu. Live your life. Peace ✌️
Hebu mtoa mada akorome tusikie kwanza
sawa.Hawa wakubwa wanajua mapenzi kuliko hawa watoto, chini ya miaka 30
Tupo, uko wapi.......Maisha bila watoto wazuri, hayaendi kabisa.
Hapa najihisi kichwa ni kizito sana, nikienda kibaruani nafokea fokea tu wafanyakazi.
Nimekuwa ni mtu wa hasira hasira, ukinisemesha kidogo tu, na kukoromea.
Nadhani suluhisho ni kupata mtoto mzuri, wa kuanzia miaka 30 na kuendelea, ili tubadilishane naye mawazo katika bustani ya edeni.
Najua watoto wazuri humu wapo.
Hela sio tatizo, tatizo ni matumizi tu, uko wapi tutoke wote?